Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Nazungumzia CCM, ok, kwahio tunaweza kuhitimisha kuwa CCM wako leo hapo walipo kutokana na "figisu" za kuwatesa na pengine "kuwapoteza" Wapinzani wake? Au pengine kwa maneno mepesi, CCM wananuka damu?? Una maoni gani hapa??Ndiyo kwasababu pamoja na Umafia wa CCM bado upinzani nao hawajawa serious kwenye ishu za kuongoza, kila siku hao hao kina Mbowe
Alifanyeje?Ulichofanya Bukoba Vijijini kusema kweli sintokusahau ata siku mmoja..Najua unajua ata kama hii ni fake ID lakini ulitufanyia ndivyo sivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambariki au amwangamizeMungu akubariki Mkuu
Hakuna atendaye maovu na asijutie matendo yake.......
Pamoja na kupitia mateso ya hali ya juu, Chadema ni mpango wa Mungu na hatimaye itaibuka mshindi
Kwa Karamagi na Masaaba pale eneno hatari linaitwa MUCHUMBIUlichofanya Bukoba Vijijini kusema kweli sintokusahau ata siku mmoja..Najua unajua ata kama hii ni fake ID lakini ulitufanyia ndivyo sivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota mkuu ndoto zako za mchanaMungu akubariki Mkuu
Hakuna atendaye maovu na asijutie matendo yake.......
Pamoja na kupitia mateso ya hali ya juu, Chadema ni mpango wa Mungu na hatimaye itaibuka mshindi
umeshalaaniwa na Mungu ameshakupatiliza wewe kizazi chako.hadi cha nne.Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Hata huo mwandiko si wake. Kakodisha tu jina kwa mtu mwingine.
Siku zinakuja mbaya sana ktk.maisha yao Walipemda sana kuzifurahisha nafisi zao kwa maovu dhidi ya wenzao. Vipesa wanavyolopwa kwa kudanyia anasa vinawazuzua sana. Na waapia kila aliyekula sh hata moja iliyotokana na pesa zao za udhalim wamelaaniwa.mtatajana wote taratibu tu.
Acha kumhusisha Mungu na mambo yenu ya siasa za ovyo ovyo. Umeweka bandiko refu kama unalazimisha tuamini kuwa Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo ana upande wa siasa na upande huo ni ule ulio wewe. Siasa za kibongo zina watu wa ovyo kila upande including hao wachawi uliowasema.Kuachana na shetani ni jambo jema. CCM hakiwezi kuwa chama chenye baraka mbele za Mungu. Na wote waliojishikamanisha na ibilisi huyu, laana ijuu yao na wana wao. Chama hiki kinaua, kinateka, kinatesa na kudhulumu watu. Lakini pia chama hiki ni cha kishirikina.
Kuna mjumbe mmoja wa CCM alielezea jinsi pale Mwanza, usiku wa manane walivyokusanywa kwenye ukumbi wa jiji usiku wa manane, tarehe 14 Octoba 2015, na kisha viongozi wao wa mkoa kuwaacha na mganga wa kienyeji (mchawi) aliyewapa dawa na maelekezo ya namna ya kwenda na dawa hizo usiku ule kwenye vituo vya kupigia kura. Yule mama mjumbe wa CCM alisikitika sana lakini akasema nilitekeleza kwa sababu ya hofu. Anasema waliambiwa atakayeshindwa kutekeleza kwa kadiri ya maelekezo, atakuja kujutia.
Hata siku moja, Mungu haelekezi kuua, kubagua, kutesa, kuonea au wewe kujiona bora kuliko binadamu wengine. Yeyote anayeyafanya hayo, hakika ni lazima, ametoka kwa shetani, anatekeleza matakwa ya shetani. Shetani baada ya kukutumia, lazima akuangamize.
Pale Mwanza, tazameni yaliyompata Mabina, aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa. Alikuwa mbabe hasa, aliyeogopwa na hata na mawaziri. Pamoja na ubabe wake, aliuawa kwa unyonge zaidi ya kuku. Jiwe moja dogo la mwanakijiji lilimwondolea uhai. Tupu zake zikakatwa na wanakijiji kudhihirisha chuki dhidi yake. Hatufurahii kifo lakini kuna vifo vya laana, na Mungu anatukumbusha tuliosalia na kujisahau.
Roho ya mwanaCHADEMA, mwanaCCM, mwanaCUF, mwanaACT au hata asiye na chama, ina thamani kubwa mbele za Mungu. Unaweza ukaua leo, ukatesa, ukaonea, ukabagua, ukapendelea, ukateka, ukapoteza watu, na kwa ujinga ukajiona mwamba kweli maana unatenda lolote utakalo, kwa kauli tu usiowapenda wanatetemeka na kuangamia lakini usichokijua, ni UNYONGE ulio nao. Unyonge wako unaweza kuzidiwa hata ule wa simbilisi.
Wababe wengi mwisho wao huwa ni wa kinyonge sana, na wala huwa hawaondolewi na wabaya wao waliowategemea. Huondolewa na wasiowatarajia kabisa.
Britinica, hongera kwa kuondoka kwenye unyonge, shetani ni mnyonge. Huwakamata walio wanyonge zaidi. Ambatana na Mungu mwenye nguvu na mamlaka makubwa, nawe utaufurahia ukuu wake. Mungu akujaze neema zake zitakazokufanya uuchukie uovu milele. Mwovu anayetubu na kubadilika, ni furaha kubwa kwa Mungu na ushirika wa watakatifu wake waliopo mbinguni na duniani.
Magu kawanyosha mlifanya maovu mkitarsjia atawakumbuka, baasa ya kuona awamu inaisha bila kukumbukwa ndio unajidai kujutia.Mkuu nimestaafu
Mungu gani unamzimungumzia ambaye ameliacha taifa lake?Acha kumhusisha Mungu na mambo yenu ya siasa za ovyo ovyo. Umeweka bandiko refu kama unalazimisha tuamini kuwa Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo ana upande wa siasa na upande huo ni ule ulio wewe. Siasa za kibongo zina watu wa ovyo kila upande including hao wachawi uliowasema.
Humjui vizuri unaemkosoa hivi, funga bakuli lakoWewe akili Zako ndogo na zitakugharimu
Wewe unapewa tetesi unazirusha bila kuzifanyia tafiti.(wewe mwehu)
Unyama ulifanywa na CCM ni upi,
Weka evidence.
Wewe uliajiriwa na mtu binafsi uibe kura hukuwa unalipwa na CCM kwa wizi mliokuwa mnafanya.
Kuchafuana kwenye siasa ni Jambo la kawaida na ndio maana zikaitwa siasa.
In short naona umekurupuka tu kutoka usingizini Wala hujielewi
Nakushauri kwasababu unazijua mbinu Za kuiba kura nenda upinzani wape mbinu hizo ili 2020 upinzani ushike Dola.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Magufuli kutomteua huku alifanya maovu mengi kwa sababu ya ccm sasa ameamua kuzila.Hongera kwa uamzi mzuri na mgumu kama ni kweli unachokisema!, ila ningekuomba usiache siasa ila fanya siasa safi, nyeusi wambie watu kuwa ni nyeusi na kama ni nyeupe waambie watu ni nyeupe!.
Naamini unayo yafahamu ni mengi katika siasa za nchi yetu, ukifanya hilo nililo kushauri watu wataelimika, watapona na kujua siasa za nchi yetu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kakosa uteuzi wa maana, kuna nyuzi myingi tu humu ameonekana akilalamika sama siku za hivi karibuni.Kuna kitu umekosa au wamekutosa na si bure!!