Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

Pesa wanazopata wanaishia kuvulia mapichu dada za watu, wana maana yoyote baaasi.
 
Lakin ni kwel aliyewatuma wale jamaa kumshut Tundu Lissu ni mkuu wenu?

Tuanzia hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hilo lina kuuliza?

Kwani hukuwahi msikia Jiwe akitamba kuwa katika vita ya uchumi, tunawamaliza tunaowaona wanakwamisha sisi kwenda mbele......

Baada ya Masaa mawili tu tunasikia Tundu Lissu, kesha-shutiwa!

Hivi katika mazingira hayo, utawezaje kumtoa Jiwe, wakati "circumstantial evidence" ikimwonyesha waziwazi uhusika wake mkuu?
 
Mbona unajitafutia matatizo, kama ulifanya kweli unatoa siri na unaishi Urusi Vladivostok umekwisha bwana mdogo.
Putin akipewa signal utajikuta Ukongo siku ya tatu.
Acha kuropoka ropoka your dead meat.
 
Wewe na mkuu Barafu endelezeni ule uzi wa GEREZA LA MKAMIRA!!!POLE sana mkuu!!lakini hii confession ni yako au ya mtu fulani mkubwa nchini???
 
Kweli nimeamini ccm imevamiwa na watu wenye roho mbaya. Hongera kwa kuliona hilo
 
Achana na hlo mkuu, mengi tu yametokea ya kuthibitisha pasi shaka, mie nilitaka tu jamaa akiri na hili hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutubu ni utakaso wa dhambi.Kuna kibwengu yule jamaa Barbosa ana roho mbaya utafikiri mpambe wa ibilisi mkuu
 
Toba huambatana na kusema kweli yote;
1. Hebu tuambie 2015 nani alishinda uraisi?
2. Nani amempiga Lisu risasi?
3. Wabunge wangapi wapo bungeni kwa wizi wa kura?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…