Huyo jamaa alichosema hajakosea, huo ni ukweli wa wazi.
Niulizwe na nani zaidi ya kutumika vitisho kuficha ukweli. Huo uovu sio wa kutafuta.
Evidence please. Watanzania ni mabingwa wa umbea tukisema utoe evidence lakini huna. Ccm inashinda kwa kishindo all the time
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ya leo tunaishi kwa evidence sio hadithi za kina Bulicheka. CCM wapo madarakani nyie mnaganga njaa, sasa unataka evidence ipi mkuu? Huyo Mbowe ndio anaepiga magoti kuomba maridhiano wakati CCM wanawaangalia tu kwa sababu majibu yapo kwenye sanduku la kura. Uchaguzi wa mwisho mliweka mpira kwapani, sasa unafikiri mna chama kumbe mna ukoo wa chama cha kikabila.
Huna hoja bora upige kimya, ule uliopita sio uchaguzi, bali ni kipimo cha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Wewe endelea kuwadanganya makanyaboya wenzio kule uchagani lakini werevu wanakukodolea macho tu. Ati ujinga wa mtu mweusi. Wewe ukiona ngozi nyeupe tu unatetemeka na kuabudu. Grow up and be a person of your own mind and plan to develope yourself and family. Unafikiri kuna neema kutoka kwa wazungu!
Mkuu huyu jamaa anapaswa atueleze wote hawa wapo wapi Ben Saa 8 ,Azzory Gwanda na wengineo waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha.
Mkuu huyu jamaa anapaswa atueleze wote hawa wapo wapi Ben Saa 8 ,Azzory Gwanda na wengineo waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha.
Mungu hasimami na chama bali husimama na wenye haki. Watu wanaojinyenyekesha kwake na wanatambua kuwa matendo mema na ya haki dhidi ya jirani zao ndiyo amri iliyo kuu.Acha kumhusisha Mungu na mambo yenu ya siasa za ovyo ovyo. Umeweka bandiko refu kama unalazimisha tuamini kuwa Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo ana upande wa siasa na upande huo ni ule ulio wewe. Siasa za kibongo zina watu wa ovyo kila upande including hao wachawi uliowasema.
KabisaNaona Twitter umekua rafiki ake kigogo
Sana ani [emoji28][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvumilivu lazima mkuu wanaonitukana baadae watajua nasema niniMission yako namba 2 baada ya hii iliyoisha ni ipi mkuu?
Uzuri wa britanicca ni mvumilivu sana wa comments zinazompopoa mawe, hana tofauti na mzee Mshana Jr.