Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #21
Mama analeta Mwanga sana katika Tanzania tunayoitakaSafi sana...Mama anastahili sifa aendelee hivyo hivyo.
Mama analeta Mwanga sana katika Tanzania tunayoitakaSafi sana...Mama anastahili sifa aendelee hivyo hivyo.
Hakika anatuunganisha WatanzaniaAhsante mama Samia kwa kuwaonganisha watanzania wote kuwa wamoja.
Rudi nyumbani kumenona sasa.
Na hii ndo maana halisi ya uzalendo. Sio uzalendo aliokuwa anaujenga mwendazake wa kumsifu na kumuabudu yeye.Uzalendo kwa maendeleo endelevu
Hahaha mama D , kwa Sera na Mwanga aliouleta Mama, hatuna budi kumuunga mkono kwa nguvu sana. Na hii ndo aliyoisema Mwl. Nyerere , Kuhusu kujisahihisha.Lord denning mwana mpotevu karibu nyumbani
Wakubwa tunasema mtoto akilia wembe mpe..... lord denning ulilia sana Tundu tukakuacha sasa umegundua tundu ni tundu tuu karibu tujenge nchi
Wewe huwajui ccm
They are all the same
At least huyu mama anaheshimu sheria walau kidogo
Mataga wamepoteana 😀Mataga bado wapo kwenye chama
Hahaha mama D , kwa Sera za Mwanga aliouleta Mama, hatuna budi kumuunga mkono kwa nguvu sana. Na hii ndo aliyoisema Mwl. Nyerere , Kuhusu kujisahihisha.
Ni vizuri kwa watanzania kwa Umoja wetu sasa, tujikite katika kuhamasishana kulipa kodi kwa usahihi na kuchangia kwa nguvu zote katika maendeleo ya Taifa letu.
Hahaha mama D , kwa Sera na Mwanga aliouleta Mama, hatuna budi kumuunga mkono kwa nguvu sana. Na hii ndo aliyoisema Mwl. Nyerere , Kuhusu kujisahihisha.
Ni vizuri kwa watanzania kwa Umoja wetu sasa, tujikite katika kuhamasishana kulipa kodi kwa usahihi na kuchangia kwa nguvu zote katika maendeleo ya Taifa letu.
Mbona tupo Manundu runalima maharage shost.Nimefurahi sana...... Tanzania iko imara sanaaaaa
Tuwakumbushe wale wanaorandaranda na wabelgiji na wale wanaokataza nchi kupewa mikopo ya elimu kwamba kuanzia ulipoingia upinzani CCM hawajawahi shinda chini ya 60%...
Mbona tupo Manundu runalima maharage shost.
Mama anaharibu kwa kusema yeye ni kitu kimoja na Magufuli!Amani iwe nanyi wana JF!
Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa...
Mama anaharibu kwa kusema yeye ni kitu kimoja na Magufuli!
Nasubiri siku 100 ili nitoe tathmini ya awali ya huyo mama. Kwasasa niko nakusanya tu ushahidi. Maamuzi yangu sio ya kufuata upepo, bali ni ya utashi wangu bila kushinikizwa na yoyote.Nimefurahi sana...... Tanzania iko imara sanaaaaa
Tuwakumbushe wale wanaorandaranda na wabelgiji na wale wanaokataza nchi kupewa mikopo ya elimu kwamba kuanzia ulipoingia upinzani CCM hawajawahi shinda chini ya 60%...
Amefafanua kuwa ni kitu kimoja Kwa sababu wote wanabeba ilani ya CCM.Mama anaharibu kwa kusema yeye ni kitu kimoja na Magufuli!
Hii ni mbaya sana kama anajifungamanisha na utawala dhalimu wa Magufuli.Sio kitu kimoja tuu, lengo lao ni moja pia...
Sawasawa tindo , Kwa tathimi yangu ya awali, Mama yuko vizuri na natarajia kuipata kutoka kwake Tanzania tunayoitaka angalau kwa asilimia 70 jambo ambalo Naona sio baya sana.Nasubiri siku 100 ili nitoe tathmini ya awali ya huyo mama. Kwasasa niko nakusanya tu ushahidi. Maamuzi yangu sio ya kufuata upepo, bali ni ya utashi wangu bila kushinikizwa na yoyote.
Wewe kama unasumbuliwa na roho zako za kiburundi nakushauri rudi tu Burundi. Nchi za Africa kama Botswana, South Africa na Mauritius nazo zinakusanya kodi kwa ubabe?? Mbona ziko vizuri na utekelezaji wa sera zao za kikodi hauna ubabe ubabe?kodi hailipwi kwa kuombana,kama unafikiri mtaendelea kuombwa subiri utekelezaji...
Umeishi nchi gani kati ya hizo au unaishi huko kupitia mitandaoni?Wewe kama unasumbuliwa na roho zako za kiburundi nakushauri rudi tu Burundi. Nchi za Africa kama Botswana, South Africa na Mauritius nazo zinakusanya kodi kwa ubabe?? Mbona ziko vizuri na utekelezaji wa sera zao za kikodi hauna ubabe ubabe?