Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #61
Kwani uongo?Wewe wasema
Kwani uongo?Wewe wasema
Nadhani Burundi kwenu kuna amani saivi. Unaweza kurudi tu!Kichwani she is a lightweight, anapoongea huwa hana logic.
Katuasa tujihadhari na COVID kwa kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko.
Kayasema hayo akiwa kwenye mkusanyiko wa kumuombea dua Magufuli.
Tangu lini Nyumbu wakamtakia mema rais Samia hadi wampangie cha kufanya?Amani iwe nanyi wana JF!
Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa.
Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye biashara huku akiwatesa Wawekezaji na kufanya mamilioni ya Watanzania kupoteza na kukosa ajira zilisababisha niache kumuunga Mkono Magufuli na CCM kwa ujumla.
Tabia zake za kupenda sifa binafsi huku akitaka atukuzwe na akipoteza watu wote waliokuwa wakimpinga au kumkosoa kwa kuwaua na kuwapa kesi mbaya kulisababisha niache kabisa kufuatilia siasa zake.
Hayo yote tisa, kumi ni tukio la jaribio la mauaji ya Tundu Antipass Lissu. Pamoja na kuwa Mimi nilikuwa CCM ila nilikuwa nakubali michango ya Tundu Lissu Bungeni hasa kwenye mambo ya Sheria, haki na demokrasia, Tundu Lissu alileta michango mizuri na inayojenga bungeni Kama wabunge wenzake wa CHADEMA.
Tangu Rais Samia Hassan Suluhu ashike usukani wa kuliongoza Taifa letu nimesikiliza hotuba zake kama nne. Na kwenye hotuba zake zote nilizozisikiliza, nimegundua pamoja na elimu yake ya kawaida sana, ni mtu mwenye exposure ya kiwango cha juu sana hasa linapokuja suala la maendeleo. Nimesema haya kutoka moyoni kwa sababu zifuatazo;
1. Mama Samia ameonesha kujua tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu kwa sasa ni ajira kwa vijana wetu na kuwa hili ni bomu ambalo kama halitashughulikiwa ipasavyo, basi nchi yetu itajikuta kwenye sehemu mbaya sana kiutawala siku si nyingi. Tanzania yenye watu karibu Mil 60 , kila mwaka inazalisha wahitimu wa vyuo mbalimbali wanaofikia elfu 25. Hawa watu wasipowekewa mazingira mazuri wakaajiliwa na kujiajiri basi nchi inaweza kufika pabaya sana miaka michache tu ijayo. Hotuba zake zilizojikita kwenye kuboresha mazingira ya uwekezaji na kuwekeza kwenye miradi ya kimakakati ya kukuza ajira imenifanya nione kuwa ni mtu sahihi tunayemuhitaji kwa sasa
Kwa kugundua hili Mama Samia ameweka msisitizo na nguvu kubwa katika kubadili mazingira ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji wengi zaidi ambao watatengeneza fursa za ajira na kujiajiri kwa vijana wetu. Kwa hotuba yake ya leo, nimehitimisha kwa kuliona hili jambo kwa asilimia 100.
2. Anawekeza zaidi katika kutumia akili kwa kiwango kikubwa na nguvu kiasi jambo ambalo Nina uhakika litakuja kumpa matokeo mazuri sana hapo mbeleni. Kwenye hili nimeona anavyosisitiza hasa kwenye masuala ya mfumo wa kodi na uwekezaji akisema anataka kuboresha mfumo wetu wa kodi ili watu wengi zaidi walipe kodi na kiwango cha kodi kuwe stahimilivu ili wote tuchangie maendeleo ya nchi yetu bila kuumia huku tukijenga uzalendo kweli. Kwenye hili nampa pia pongezi Mama Samia Kwa sababu kwa kufanya hivi Nina uhakika atapata support kubwa si kutoka Kwa wananchi tu bali hata Kwa walipa kodi wa hapa nchini.
3. Maono yake ya kuboresha namna ya ufugaji wetu na Makazi ya wananchi. Mama Samia ni mwana Ccm wa pili niliyemsikia alizungumzia hili baada ya Prof Muhongo kwenye hotuba yake ya kuomba ridhaa ya CCM kuhombea uraisi pale mwaka 2015. Katika dunia ya sasa ni aibu Kwa ufugaji unaofanywa na jamii za kitanzania Kwa sababu kwanza unahatarisha mazingira kwa kuharibu uoto na kueneza ukame, lakini Pia ufugaji wetu unatuweka kwenye hatari kubwa ya kupoteza uoto wetu wa asili kama Taifa katika miaka michache ijayo. Njia pekee ya kubadili aina hii ya ufugaji ni kuwapa teknolojia mpya wafugaji kuwawezesha kufuga kibiashara katika mazingira madogo. Hili litaokoa sana mazingira yetu na kufanya tuwe na nyama Bora ambayo tutaiuza kwenye masoko ya nje yenye ushindani.
Kwa haya mambo matatu niliyoyaona kwa Mama Samia hadi leo, Mimi Lord denning napenda kusema baada ya kuachana na siasa za Chama cha Mapinduzi kwa miaka karibu 4, sasa Mama Samia Suluhu Hassan, amefanikiwa katika kurudisha imani yangu tena juu ya Chama hiki Kwa sababu nimeona kumbe bado kuna watu wenye akili ambao wanaweza leta kweli mabadiliko chanya hapa Tanzania.
Nyumbu ni MatagaTangu lini Nyumbu wakamtakia mema rais Samia hadi wampangie cha kufanya?
Hangaikeni na mzee wa MIGA mtetezi wa mashoga.
Kuna kipindi umasikini umeongezeka Tanzania kama kwa miaka hii 6 ya huyu mpuuzi wenu Magufuli? Kipindi cha Huyo Rais handsome ndo watu walikuwa na hela, ajira na maendeleo tele. Huo usahaulifu unao wewe!
Amevuka matarajio gani?? Kuua watu na kubambikia makesi? Au kuongeza idadi ya wachuuzi wanaofunga barabara zetu na kuharibu mipango miji kwa kigezo cha machinga na mamalishe?^Rais wetu Magufuli amevuka matarajio yetu tuliyomwekea kama chama & serikali; amefanya hata yaliyoshindikana kwa miaka mingi; hana tunalomdai. Vyovyoye vile, haiwezekani kutomchagua!^ ~ Mstaafu wa Msoga
Msemo wako mzuri nimeupenda, but ulichofanya wewe sijakipenda.Waingereza wana Msemo wao kuwa “ Take care of the pennies and the Pounds will take care of themselves”. Wakimaanisha weka Sawa mambo madogo then mambo makubwa yatajiweka Sawa.
Anavyofanya Mama ndo uzuri wenyewe. Anaweka mwelekeo mzuri wa sera zake. Sheria zitakuja tu kubadilishwa kwa sababu inaonekana dhahili hazitaendana nae.
Viongozi wakiaacha ubinafsi na kulindana na kuamua kuboresha au kutengeneza katiba mpya, hapo Taifa litaamka na kupiga hatua za kimaendeleo. Kila tutakalolifanya litokane na sheria katiba, na kusiwe na aliye juu ya sheria. Mfano nani asiyefahamu Mdee na wenzake wamefukuzwa uanachama, na waliingia Bungeni kwa nguvu ya Jiwe. Je kuna yoyote anayeweza kuhoji hili?Nn kikifanyika itakuwa sahihi?
Uko sawa sana mkuu nami naunga hoja mkono, ila nina angalizo moja tu ambalo ni utekelezaji. Ninasubiri nione uelekeo wa utekelezaji kwa hayo mabadiliko makubwa ya kisera na kiutendaji basi nami itakuwa nyuma yako. Lakini ili mama afanye vizuri zaidi anahitaji watu tutakao kuwa radhi kumwambia ukweli anapokosea na kumshauri na sio wale wanasifia sifia hovyo hovyo.Amani iwe nanyi wana JF!
Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa.
Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye biashara huku akiwatesa Wawekezaji na kufanya mamilioni ya Watanzania kupoteza na kukosa ajira zilisababisha niache kumuunga Mkono Magufuli na CCM kwa ujumla.
Tabia zake za kupenda sifa binafsi huku akitaka atukuzwe na akipoteza watu wote waliokuwa wakimpinga au kumkosoa kwa kuwaua na kuwapa kesi mbaya kulisababisha niache kabisa kufuatilia siasa zake.
Hayo yote tisa, kumi ni tukio la jaribio la mauaji ya Tundu Antipass Lissu. Pamoja na kuwa Mimi nilikuwa CCM ila nilikuwa nakubali michango ya Tundu Lissu Bungeni hasa kwenye mambo ya Sheria, haki na demokrasia, Tundu Lissu alileta michango mizuri na inayojenga bungeni Kama wabunge wenzake wa CHADEMA.
Tangu Rais Samia Hassan Suluhu ashike usukani wa kuliongoza Taifa letu nimesikiliza hotuba zake kama nne. Na kwenye hotuba zake zote nilizozisikiliza, nimegundua pamoja na elimu yake ya kawaida sana, ni mtu mwenye exposure ya kiwango cha juu sana hasa linapokuja suala la maendeleo. Nimesema haya kutoka moyoni kwa sababu zifuatazo;
1. Mama Samia ameonesha kujua tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu kwa sasa ni ajira kwa vijana wetu na kuwa hili ni bomu ambalo kama halitashughulikiwa ipasavyo, basi nchi yetu itajikuta kwenye sehemu mbaya sana kiutawala siku si nyingi. Tanzania yenye watu karibu Mil 60 , kila mwaka inazalisha wahitimu wa vyuo mbalimbali wanaofikia elfu 25. Hawa watu wasipowekewa mazingira mazuri wakaajiliwa na kujiajiri basi nchi inaweza kufika pabaya sana miaka michache tu ijayo. Hotuba zake zilizojikita kwenye kuboresha mazingira ya uwekezaji na kuwekeza kwenye miradi ya kimakakati ya kukuza ajira imenifanya nione kuwa ni mtu sahihi tunayemuhitaji kwa sasa
Kwa kugundua hili Mama Samia ameweka msisitizo na nguvu kubwa katika kubadili mazingira ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji wengi zaidi ambao watatengeneza fursa za ajira na kujiajiri kwa vijana wetu. Kwa hotuba yake ya leo, nimehitimisha kwa kuliona hili jambo kwa asilimia 100.
2. Anawekeza zaidi katika kutumia akili kwa kiwango kikubwa na nguvu kiasi jambo ambalo Nina uhakika litakuja kumpa matokeo mazuri sana hapo mbeleni. Kwenye hili nimeona anavyosisitiza hasa kwenye masuala ya mfumo wa kodi na uwekezaji akisema anataka kuboresha mfumo wetu wa kodi ili watu wengi zaidi walipe kodi na kiwango cha kodi kuwe stahimilivu ili wote tuchangie maendeleo ya nchi yetu bila kuumia huku tukijenga uzalendo kweli. Kwenye hili nampa pia pongezi Mama Samia Kwa sababu kwa kufanya hivi Nina uhakika atapata support kubwa si kutoka Kwa wananchi tu bali hata Kwa walipa kodi wa hapa nchini.
3. Maono yake ya kuboresha namna ya ufugaji wetu na Makazi ya wananchi. Mama Samia ni mwana Ccm wa pili niliyemsikia alizungumzia hili baada ya Prof Muhongo kwenye hotuba yake ya kuomba ridhaa ya CCM kuhombea uraisi pale mwaka 2015. Katika dunia ya sasa ni aibu Kwa ufugaji unaofanywa na jamii za kitanzania Kwa sababu kwanza unahatarisha mazingira kwa kuharibu uoto na kueneza ukame, lakini Pia ufugaji wetu unatuweka kwenye hatari kubwa ya kupoteza uoto wetu wa asili kama Taifa katika miaka michache ijayo. Njia pekee ya kubadili aina hii ya ufugaji ni kuwapa teknolojia mpya wafugaji kuwawezesha kufuga kibiashara katika mazingira madogo. Hili litaokoa sana mazingira yetu na kufanya tuwe na nyama Bora ambayo tutaiuza kwenye masoko ya nje yenye ushindani.
Kwa haya mambo matatu niliyoyaona kwa Mama Samia hadi leo, Mimi Lord denning napenda kusema baada ya kuachana na siasa za Chama cha Mapinduzi kwa miaka karibu 4, sasa Mama Samia Suluhu Hassan, amefanikiwa katika kurudisha imani yangu tena juu ya Chama hiki Kwa sababu nimeona kumbe bado kuna watu wenye akili ambao wanaweza leta kweli mabadiliko chanya hapa Tanzania.
Saccos gani bwashee?Unajikosha tu. Jengeni saccos yenu, 2025 sio mbali.

Kwenye utekelezaji Mama hana shida, ni kupeleka mabadiliko ya Sheria tuBungeni kuadress concern zake then kuweka watendaji makini kuzisimamiaUko sawa sana mkuu nami naunga hoja mkono, ila nina angalizo moja tu ambalo ni utekelezaji. Ninasubiri nione uelekeo wa utekelezaji kwa hayo mabadiliko makubwa ya kisera na kiutendaji basi nami itakuwa nyuma yako. Lakini ili mama afanye vizuri zaidi anahitaji watu tutakao kuwa radhi kumwambia ukweli anapokosea na kumshauri na sio wale wanasifia sifia hovyo hovyo.
Thanks but 84+5+1=???Nimefurahi sana...... Tanzania iko imara sanaaaaa
Tuwakumbushe wale wanaorandaranda na wabelgiji na wale wanaokataza nchi kupewa mikopo ya elimu kwamba kuanzia ulipoingia upinzani CCM hawajawahi shinda chini ya 60%
Mwaka 1995 Mkapa alishinda kwa asilimia 61.8%
Mwaka 2000 Mkapa akashinda kwa asilimia 71.7%
Mwaka 2005 Jakaya Kikwete alishinda wa asilimia 80.8%
Mwaka 2010 Jakaya Kikwete alishinda wa asilimia 61.1%
Mwaka 2015 John Magufuli alishinda kwa asilimia 58.5%
Mwaka 2020 John Magufuli alishinda kwa asilimia 84%
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikua uchaguzi mgumu kuliko chaguzi zotee ukiwa umejaa ufisadi na usaliti mkubwa ndani na nje ya chama lakini JPM aliibuka na kuinusuru CCM, kisha akaisafisha na kuiheshimisha pamoja kuipandisha juuu kwa kishindo
Sasahivi Rais Samia Suluhu Hassan amechukua..... anaweka waaaaaa..... anaipeleka CCM kwenye 84% + 5%
1% iliyobaki ni ya wasaliti na vibaraka ambao hawakosekani sehemu yoyote Sky Eclat Salary Slip tindo mugah di mathew Mmawia BAK Wangari Maathai nyumbani kumenoga njooni tujenge nchi
Mmabo ya kutaka kiki bwana. Kwani usipomuunga mkono umeambiwa atashindwa kuongoza?Amani iwe nanyi wana JF!
Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa.
Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye biashara huku akiwatesa Wawekezaji na kufanya mamilioni ya Watanzania kupoteza na kukosa ajira zilisababisha niache kumuunga Mkono Magufuli na CCM kwa ujumla.
Tabia zake za kupenda sifa binafsi huku akitaka atukuzwe na akipoteza watu wote waliokuwa wakimpinga au kumkosoa kwa kuwaua na kuwapa kesi mbaya kulisababisha niache kabisa kufuatilia siasa zake.
Hayo yote tisa, kumi ni tukio la jaribio la mauaji ya Tundu Antipass Lissu. Pamoja na kuwa Mimi nilikuwa CCM ila nilikuwa nakubali michango ya Tundu Lissu Bungeni hasa kwenye mambo ya Sheria, haki na demokrasia, Tundu Lissu alileta michango mizuri na inayojenga bungeni Kama wabunge wenzake wa CHADEMA.
Tangu Rais Samia Hassan Suluhu ashike usukani wa kuliongoza Taifa letu nimesikiliza hotuba zake kama nne. Na kwenye hotuba zake zote nilizozisikiliza, nimegundua pamoja na elimu yake ya kawaida sana, ni mtu mwenye exposure ya kiwango cha juu sana hasa linapokuja suala la maendeleo. Nimesema haya kutoka moyoni kwa sababu zifuatazo;
1. Mama Samia ameonesha kujua tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu kwa sasa ni ajira kwa vijana wetu na kuwa hili ni bomu ambalo kama halitashughulikiwa ipasavyo, basi nchi yetu itajikuta kwenye sehemu mbaya sana kiutawala siku si nyingi. Tanzania yenye watu karibu Mil 60 , kila mwaka inazalisha wahitimu wa vyuo mbalimbali wanaofikia elfu 25. Hawa watu wasipowekewa mazingira mazuri wakaajiliwa na kujiajiri basi nchi inaweza kufika pabaya sana miaka michache tu ijayo. Hotuba zake zilizojikita kwenye kuboresha mazingira ya uwekezaji na kuwekeza kwenye miradi ya kimakakati ya kukuza ajira imenifanya nione kuwa ni mtu sahihi tunayemuhitaji kwa sasa
Kwa kugundua hili Mama Samia ameweka msisitizo na nguvu kubwa katika kubadili mazingira ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji wengi zaidi ambao watatengeneza fursa za ajira na kujiajiri kwa vijana wetu. Kwa hotuba yake ya leo, nimehitimisha kwa kuliona hili jambo kwa asilimia 100.
2. Anawekeza zaidi katika kutumia akili kwa kiwango kikubwa na nguvu kiasi jambo ambalo Nina uhakika litakuja kumpa matokeo mazuri sana hapo mbeleni. Kwenye hili nimeona anavyosisitiza hasa kwenye masuala ya mfumo wa kodi na uwekezaji akisema anataka kuboresha mfumo wetu wa kodi ili watu wengi zaidi walipe kodi na kiwango cha kodi kuwe stahimilivu ili wote tuchangie maendeleo ya nchi yetu bila kuumia huku tukijenga uzalendo kweli. Kwenye hili nampa pia pongezi Mama Samia Kwa sababu kwa kufanya hivi Nina uhakika atapata support kubwa si kutoka Kwa wananchi tu bali hata Kwa walipa kodi wa hapa nchini.
3. Maono yake ya kuboresha namna ya ufugaji wetu na Makazi ya wananchi. Mama Samia ni mwana Ccm wa pili niliyemsikia alizungumzia hili baada ya Prof Muhongo kwenye hotuba yake ya kuomba ridhaa ya CCM kuhombea uraisi pale mwaka 2015. Katika dunia ya sasa ni aibu Kwa ufugaji unaofanywa na jamii za kitanzania Kwa sababu kwanza unahatarisha mazingira kwa kuharibu uoto na kueneza ukame, lakini Pia ufugaji wetu unatuweka kwenye hatari kubwa ya kupoteza uoto wetu wa asili kama Taifa katika miaka michache ijayo. Njia pekee ya kubadili aina hii ya ufugaji ni kuwapa teknolojia mpya wafugaji kuwawezesha kufuga kibiashara katika mazingira madogo. Hili litaokoa sana mazingira yetu na kufanya tuwe na nyama Bora ambayo tutaiuza kwenye masoko ya nje yenye ushindani.
Kwa haya mambo matatu niliyoyaona kwa Mama Samia hadi leo, Mimi Lord denning napenda kusema baada ya kuachana na siasa za Chama cha Mapinduzi kwa miaka karibu 4, sasa Mama Samia Suluhu Hassan, amefanikiwa katika kurudisha imani yangu tena juu ya Chama hiki Kwa sababu nimeona kumbe bado kuna watu wenye akili ambao wanaweza leta kweli mabadiliko chanya hapa Tanzania.
Amani iwe nanyi wana JF!

Thanks but 84+5+1=???
Kusema sio kufanya tumoe mda rais was katiba ya wananchi ukawa
Thanks but 84+5+1=???Nimefurahi sana...... Tanzania iko imara sanaaaaa
Tuwakumbushe wale wanaorandaranda na wabelgiji na wale wanaokataza nchi kupewa mikopo ya elimu kwamba kuanzia ulipoingia upinzani CCM hawajawahi shinda chini ya 60%
Mwaka 1995 Mkapa alishinda kwa asilimia 61.8%
Mwaka 2000 Mkapa akashinda kwa asilimia 71.7%
Mwaka 2005 Jakaya Kikwete alishinda wa asilimia 80.8%
Mwaka 2010 Jakaya Kikwete alishinda wa asilimia 61.1%
Mwaka 2015 John Magufuli alishinda kwa asilimia 58.5%
Mwaka 2020 John Magufuli alishinda kwa asilimia 84%
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikua uchaguzi mgumu kuliko chaguzi zotee ukiwa umejaa ufisadi na usaliti mkubwa ndani na nje ya chama lakini JPM aliibuka na kuinusuru CCM, kisha akaisafisha na kuiheshimisha pamoja kuipandisha juuu kwa kishindo
Sasahivi Rais Samia Suluhu Hassan amechukua..... anaweka waaaaaa..... anaipeleka CCM kwenye 84% + 5%
1% iliyobaki ni ya wasaliti na vibaraka ambao hawakosekani sehemu yoyote Sky Eclat Salary Slip tindo mugah di mathew Mmawia BAK Wangari Maathai nyumbani kumenoga njooni tujenge nchi
Piga hesabu zako vizuriiiiUmeandika nini lakini🤣🤣🤣🤣🤣
84 ya MaguThanks but 84+5+1=???
Kusema sio kufanya tumoe mda rais was katiba ya wananchi ukawa
Piga hesabu zako vizuriiii