Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

Lord denning mwana mpotevu karibu nyumbani

Wakubwa tunasema mtoto akilia wembe mpe..... lord denning ulilia sana Tundu tukakuacha sasa umegundua tundu ni tundu tuu karibu tujenge nchi
Hahaha mama D , kwa Sera na Mwanga aliouleta Mama, hatuna budi kumuunga mkono kwa nguvu sana. Na hii ndo aliyoisema Mwl. Nyerere , Kuhusu kujisahihisha.

Ni vizuri kwa watanzania kwa Umoja wetu sasa, tujikite katika kuhamasishana kulipa kodi kwa usahihi na kuchangia kwa nguvu zote katika maendeleo ya Taifa letu.
 
Mataga bado wapo kwenye chama
 
Nimefurahi sana...... Tanzania iko imara sanaaaaa

Tuwakumbushe wale wanaorandaranda na wabelgiji na wale wanaokataza nchi kupewa mikopo ya elimu kwamba kuanzia ulipoingia upinzani CCM hawajawahi shinda chini ya 60%

Mwaka 1995 Mkapa alishinda kwa asilimia 61.8%
Mwaka 2000 Mkapa akashinda kwa asilimia 71.7%
Mwaka 2005 Jakaya Kikwete alishinda wa asilimia 80.8%
Mwaka 2010 Jakaya Kikwete alishinda wa asilimia 61.1%
Mwaka 2015 John Magufuli alishinda kwa asilimia 58.5%
Mwaka 2020 John Magufuli alishinda kwa asilimia 84%

Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikua uchaguzi mgumu kuliko chaguzi zotee ukiwa umejaa ufisadi na usaliti mkubwa ndani na nje ya chama lakini JPM aliibuka na kuinusuru CCM, kisha akaisafisha na kuiheshimisha pamoja kuipandisha juuu kwa kishindo

Sasahivi Rais Samia Suluhu Hassan amechukua..... anaweka waaaaaa..... anaipeleka CCM kwenye 84% + 5%

1% iliyobaki ni ya wasaliti na vibaraka ambao hawakosekani sehemu yoyote Sky Eclat Salary Slip tindo mugah di mathew Mmawia BAK Wangari Maathai nyumbani kumenoga njooni tujenge nchi
 
kodi hailipwi kwa kuombana,kama unafikiri mtaendelea kuombwa subiri utekelezaji.

tunapoteza focus kama taifa kwa kuamini kiongozi makini na wa kutuvusha anatakiwa kuwa mshikaji mshikaji.

mama ni mtu poa sana,ila utaendelea kumuunga mkono wakati,VP na PM wanafanya yale kiongozi anatakiwa kuyafanya.
kazi itaendelea kweli kweli.
 
Nimefurahi sana...... Tanzania iko imara sanaaaaa

Tuwakumbushe wale wanaorandaranda na wabelgiji na wale wanaokataza nchi kupewa mikopo ya elimu kwamba kuanzia ulipoingia upinzani CCM hawajawahi shinda chini ya 60%...
Mbona tupo Manundu runalima maharage shost.
 
Amani iwe nanyi wana JF!
Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa...
Mama anaharibu kwa kusema yeye ni kitu kimoja na Magufuli!
 
Mama anaharibu kwa kusema yeye ni kitu kimoja na Magufuli!

Sio kitu kimoja tuu, lengo lao ni moja pia.

Mama Rais Samia Suluhu Hassan hana unafki. Hajawahi acha kuwa na shukrani
 
Nimefurahi sana...... Tanzania iko imara sanaaaaa

Tuwakumbushe wale wanaorandaranda na wabelgiji na wale wanaokataza nchi kupewa mikopo ya elimu kwamba kuanzia ulipoingia upinzani CCM hawajawahi shinda chini ya 60%...
Nasubiri siku 100 ili nitoe tathmini ya awali ya huyo mama. Kwasasa niko nakusanya tu ushahidi. Maamuzi yangu sio ya kufuata upepo, bali ni ya utashi wangu bila kushinikizwa na yoyote.
 
Nasubiri siku 100 ili nitoe tathmini ya awali ya huyo mama. Kwasasa niko nakusanya tu ushahidi. Maamuzi yangu sio ya kufuata upepo, bali ni ya utashi wangu bila kushinikizwa na yoyote.
Sawasawa tindo , Kwa tathimi yangu ya awali, Mama yuko vizuri na natarajia kuipata kutoka kwake Tanzania tunayoitaka angalau kwa asilimia 70 jambo ambalo Naona sio baya sana.
 
kodi hailipwi kwa kuombana,kama unafikiri mtaendelea kuombwa subiri utekelezaji...
Wewe kama unasumbuliwa na roho zako za kiburundi nakushauri rudi tu Burundi. Nchi za Africa kama Botswana, South Africa na Mauritius nazo zinakusanya kodi kwa ubabe?? Mbona ziko vizuri na utekelezaji wa sera zao za kikodi hauna ubabe ubabe?
 
Umeishi nchi gani kati ya hizo au unaishi huko kupitia mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…