Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

Kichwani she is a lightweight, anapoongea huwa hana logic.

Katuasa tujihadhari na COVID kwa kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko.

Kayasema hayo akiwa kwenye mkusanyiko wa kumuombea dua Magufuli.
Nadhani Burundi kwenu kuna amani saivi. Unaweza kurudi tu!
 
Tangu lini Nyumbu wakamtakia mema rais Samia hadi wampangie cha kufanya?

Hangaikeni na mzee wa MIGA mtetezi wa mashoga.
 
Kuna kipindi umasikini umeongezeka Tanzania kama kwa miaka hii 6 ya huyu mpuuzi wenu Magufuli? Kipindi cha Huyo Rais handsome ndo watu walikuwa na hela, ajira na maendeleo tele. Huo usahaulifu unao wewe!


^Rais wetu Magufuli amevuka matarajio yetu tuliyomwekea kama chama & serikali; amefanya hata yaliyoshindikana kwa miaka mingi; hana tunalomdai. Vyovyoye vile, haiwezekani kutomchagua!^ ~ Mstaafu wa Msoga
 
^Rais wetu Magufuli amevuka matarajio yetu tuliyomwekea kama chama & serikali; amefanya hata yaliyoshindikana kwa miaka mingi; hana tunalomdai. Vyovyoye vile, haiwezekani kutomchagua!^ ~ Mstaafu wa Msoga
Amevuka matarajio gani?? Kuua watu na kubambikia makesi? Au kuongeza idadi ya wachuuzi wanaofunga barabara zetu na kuharibu mipango miji kwa kigezo cha machinga na mamalishe?
 
Msemo wako mzuri nimeupenda, but ulichofanya wewe sijakipenda.

Watu mnatakiwa mjifunze kuzipemda taasisi badala ya watu, kwani taasisi hubaki watu huondoka.

Sasa kama huko mbele ya safari akitokea Magufuli mwingine utakimbia tena, nani atakuamini mtu wa aina yako? ukiwa CCM kuwa CCM, usiwe plastic supporter.
 
Nn kikifanyika itakuwa sahihi?
Viongozi wakiaacha ubinafsi na kulindana na kuamua kuboresha au kutengeneza katiba mpya, hapo Taifa litaamka na kupiga hatua za kimaendeleo. Kila tutakalolifanya litokane na sheria katiba, na kusiwe na aliye juu ya sheria. Mfano nani asiyefahamu Mdee na wenzake wamefukuzwa uanachama, na waliingia Bungeni kwa nguvu ya Jiwe. Je kuna yoyote anayeweza kuhoji hili?
 
Uko sawa sana mkuu nami naunga hoja mkono, ila nina angalizo moja tu ambalo ni utekelezaji. Ninasubiri nione uelekeo wa utekelezaji kwa hayo mabadiliko makubwa ya kisera na kiutendaji basi nami itakuwa nyuma yako. Lakini ili mama afanye vizuri zaidi anahitaji watu tutakao kuwa radhi kumwambia ukweli anapokosea na kumshauri na sio wale wanasifia sifia hovyo hovyo.
 
Kwenye utekelezaji Mama hana shida, ni kupeleka mabadiliko ya Sheria tuBungeni kuadress concern zake then kuweka watendaji makini kuzisimamia
 
Thanks but 84+5+1=???


Kusema sio kufanya tumpe mda rais was katiba ya wananchi ukawa
 
Mmabo ya kutaka kiki bwana. Kwani usipomuunga mkono umeambiwa atashindwa kuongoza?
 
After only one month in office! IMO it is too early to make such a decision.
 
Thanks but 84+5+1=???


Kusema sio kufanya tumoe mda rais was katiba ya wananchi ukawa
Umeandika nini lakini🤣🤣🤣🤣🤣
Piga hesabu zako vizuriiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…