PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Wewe si mgonjwa wa Akili?Mbona mimi sijakielewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si mgonjwa wa Akili?Mbona mimi sijakielewa?
Hili ni swali gani?Wewe si mgonjwa wa Akili?
Samia ndiyo rais tuliyekuwa tunamsubiri, nchi yetu inaitwa Tanzania hayo mambo mengine ni kwa wale waliozoea ubaguzi. Rais ameiunganisha mikoa iliyopuuzwa na kushaulika, matrilioni ya pesa kanda ya ziwa halafu hakuna hata uzalishaji wa maana. ahsante mama yetu mwenyenzi Mungu akupe maisha marefu mno km mzee MwinyiWakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi ingekemewa sana na hayati Mwalimu Nyerere kama angekua hai. Au ni mbinu yake ya kuikosesha kura CHADEMA 2025? Hata kama kaamua kumuunga mkono Mama Samia ajitahidi kutumia mbinu salama.
Soma hapa chini taarifa ya wizara ya ujenzi na uchukuzi.
BARABARA ZA EPC+ F HAZITALIPIWA
Serikali imesema kuwa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F haitalipiwa na wananchi watakaotumia barabara hizo kama ambavyo baadhi ya wananchi wanavyodhani.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, wakati wa utiaji saini wa miradi hiyo ambayo inatarajiwa kutekelezwa katika Kanda za Kaskazini na Kusini na kujengwa na makandarasi wanne (4).
“Tanzania haina barabara za kulipia mpaka sasa, hivyo upotoshaji unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kulipia kwenye barabara hizi si sahihi kwani barabara hizi ni za kawaida ‘high way’ kama zilivyo barabara nyingine” amesema Prof. Mbarawa.
Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa mradi huu ni wa kwanza na mkubwa kutekelezwa nchini kwani utapita katika mikoa 13 na lengo likiwa ni kuboresha mtandao wa barabara nchini na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafiri na usafirishaji ili kuchochea uzalishaji katika maeneo zinapopita barabara hizi na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla.
“Barabara zitazojengwa zitapita katika mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Arusha, Manyara, Dodoma, Tanga, Singida, Mbeya, Songwe, Lindi, Mtwara, Simiyu na Iringa na hivyo zitarahisisha usafiri wa wananchi na usafirishaji wa mazao ya misitu, biashara, chakula, uvuvi na ufugaji, malighafi za madini kama vile makaa ya mawe, grafaiti na Chuma”, amefafanua Waziri Mbarawa.
Aidha, Prof. Mbarawa ametaja miradi itakayotekelezwa kuwa ni ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi - Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea (km 435.8) , Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa (km 453.42), Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro - Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro – Singida (km 384.33), Igawa - Songwe – Tunduma (km 237.9), Masasi - Nachingwea - Liwale (km 175), Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago – Maswa (km 339) na barabara ya Mafinga - Mtwango – Mgololo (km 81).
Tanganyika ni nchi yako wewe na mamako, siye wengine hatuijuiSwala, ni kwanini Mzanzibari abinafsishe bandari za Tanganyika kwa mkataba wa milele?
Mkuu ni bora kukaa kimya kuliko kujipotezea heshima ndogo uliyonayo humu.Kuna watauliza Kwa nini Rais Samia anafanya matengenezo Ikulu dar wakati Zanzibar kuna Ikulu.....chuki na ubaguzi hupofusha hata mtu mwenye akili
Kama huijui sawa, tuache sisi waTanganyika tushughulike na magaidi yanayouza rasilimali zetu.Tanganyika ni nchi yako wewe na mamako, siye wengine hatuijui
Utaelewaje na hayo maugonjwa yako ya akili?Mbona mimi sijakielewa?
Hebu acha upuuzi wako.Utaelewaje na hayo maugonjwa yako ya akili?
Kakutuma Nani uzi wa kichonganishi! Umeenda madarasa mangapi!??Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi ingekemewa sana na hayati Mwalimu Nyerere kama angekua hai. Au ni mbinu yake ya kuikosesha kura CHADEMA 2025? Hata kama kaamua kumuunga mkono Mama Samia ajitahidi kutumia mbinu salama.
Soma hapa chini taarifa ya wizara ya ujenzi na uchukuzi.
BARABARA ZA EPC+ F HAZITALIPIWA
Serikali imesema kuwa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F haitalipiwa na wananchi watakaotumia barabara hizo kama ambavyo baadhi ya wananchi wanavyodhani.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, wakati wa utiaji saini wa miradi hiyo ambayo inatarajiwa kutekelezwa katika Kanda za Kaskazini na Kusini na kujengwa na makandarasi wanne (4).
“Tanzania haina barabara za kulipia mpaka sasa, hivyo upotoshaji unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kulipia kwenye barabara hizi si sahihi kwani barabara hizi ni za kawaida ‘high way’ kama zilivyo barabara nyingine” amesema Prof. Mbarawa.
Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa mradi huu ni wa kwanza na mkubwa kutekelezwa nchini kwani utapita katika mikoa 13 na lengo likiwa ni kuboresha mtandao wa barabara nchini na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafiri na usafirishaji ili kuchochea uzalishaji katika maeneo zinapopita barabara hizi na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla.
“Barabara zitazojengwa zitapita katika mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Arusha, Manyara, Dodoma, Tanga, Singida, Mbeya, Songwe, Lindi, Mtwara, Simiyu na Iringa na hivyo zitarahisisha usafiri wa wananchi na usafirishaji wa mazao ya misitu, biashara, chakula, uvuvi na ufugaji, malighafi za madini kama vile makaa ya mawe, grafaiti na Chuma”, amefafanua Waziri Mbarawa.
Aidha, Prof. Mbarawa ametaja miradi itakayotekelezwa kuwa ni ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi - Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea (km 435.8) , Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa (km 453.42), Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro - Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro – Singida (km 384.33), Igawa - Songwe – Tunduma (km 237.9), Masasi - Nachingwea - Liwale (km 175), Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago – Maswa (km 339) na barabara ya Mafinga - Mtwango – Mgololo (km 81).
Kumbafuuh!Umekielewa wewe na wafuasi wenzako wa chama cha Mbowe.
Ok mkuu!Hebu acha upuuzi wako.
Nimetumwa na mama yako.Kakutuma Nani uzi wa kichonganishi! Umeenda madarasa mangapi!??
Hakuna nchi ya Tanganyika. Labda ni nchi ya kwenye vichwa vyenu wewe na Mbowe. Mkishalewa Konyagi mnawaza upuuzi tu.Kama huijui sawa, tuache sisi waTanganyika tushughulike na magaidi yanayouza rasilimali zetu.
Tanganyika ilipata Uhuru 9-12-1961, na nyerere akawa waziri mkuu baada ya mwaka mmoja 9-12-1962 ikawa jamuhuri Nyere akawa Rais wa Kwanza waTanganyika. Nchi iliyopata Uhuru kwanini isiwepo?Hakuna nchi ya Tanganyika. Labda ni nchi ya kwenye vichwa vyenu wewe na Mbowe. Mkishalewa Konyagi mnawaza upuuzi tu.
Tukimalizana na uzanzibari wa Mbarawa na Samia, tutahamia kwenye uchaga wa mwenyekiti na viongozi waandamizi. Dhambi ya ubaguzi huwa sumu yake inasambaa pakubwa sana. Tujihadhari sana katika kusaka ushawishi kwa wananchi
Huu mtindo wa ujenzi wa barabara ni kama tumejipiga bao wenyewe. Mtu mjinga wa aina yako ndio hajui madhara ya ujenzi wa aina hiyo.Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi ingekemewa sana na hayati Mwalimu Nyerere kama angekua hai. Au ni mbinu yake ya kuikosesha kura CHADEMA 2025? Hata kama kaamua kumuunga mkono Mama Samia ajitahidi kutumia mbinu salama.
Soma hapa chini taarifa ya wizara ya ujenzi na uchukuzi.
BARABARA ZA EPC+ F HAZITALIPIWA
Serikali imesema kuwa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F haitalipiwa na wananchi watakaotumia barabara hizo kama ambavyo baadhi ya wananchi wanavyodhani.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, wakati wa utiaji saini wa miradi hiyo ambayo inatarajiwa kutekelezwa katika Kanda za Kaskazini na Kusini na kujengwa na makandarasi wanne (4).
“Tanzania haina barabara za kulipia mpaka sasa, hivyo upotoshaji unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kulipia kwenye barabara hizi si sahihi kwani barabara hizi ni za kawaida ‘high way’ kama zilivyo barabara nyingine” amesema Prof. Mbarawa.
Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa mradi huu ni wa kwanza na mkubwa kutekelezwa nchini kwani utapita katika mikoa 13 na lengo likiwa ni kuboresha mtandao wa barabara nchini na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafiri na usafirishaji ili kuchochea uzalishaji katika maeneo zinapopita barabara hizi na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla.
“Barabara zitazojengwa zitapita katika mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Arusha, Manyara, Dodoma, Tanga, Singida, Mbeya, Songwe, Lindi, Mtwara, Simiyu na Iringa na hivyo zitarahisisha usafiri wa wananchi na usafirishaji wa mazao ya misitu, biashara, chakula, uvuvi na ufugaji, malighafi za madini kama vile makaa ya mawe, grafaiti na Chuma”, amefafanua Waziri Mbarawa.
Aidha, Prof. Mbarawa ametaja miradi itakayotekelezwa kuwa ni ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi - Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea (km 435.8) , Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa (km 453.42), Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro - Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro – Singida (km 384.33), Igawa - Songwe – Tunduma (km 237.9), Masasi - Nachingwea - Liwale (km 175), Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago – Maswa (km 339) na barabara ya Mafinga - Mtwango – Mgololo (km 81).
Kwani wakijenga hizo Barabara ndo wajipe uharali wa kuuza bandari zetu? Acha utoto, na Kwani hizo pesa wanazojengea ni za kutoka kwao?Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi ingekemewa sana na hayati Mwalimu Nyerere kama angekua hai. Au ni mbinu yake ya kuikosesha kura CHADEMA 2025? Hata kama kaamua kumuunga mkono Mama Samia ajitahidi kutumia mbinu salama.
Soma hapa chini taarifa ya wizara ya ujenzi na uchukuzi.
BARABARA ZA EPC+ F HAZITALIPIWA
Serikali imesema kuwa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F haitalipiwa na wananchi watakaotumia barabara hizo kama ambavyo baadhi ya wananchi wanavyodhani.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, wakati wa utiaji saini wa miradi hiyo ambayo inatarajiwa kutekelezwa katika Kanda za Kaskazini na Kusini na kujengwa na makandarasi wanne (4).
“Tanzania haina barabara za kulipia mpaka sasa, hivyo upotoshaji unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kulipia kwenye barabara hizi si sahihi kwani barabara hizi ni za kawaida ‘high way’ kama zilivyo barabara nyingine” amesema Prof. Mbarawa.
Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa mradi huu ni wa kwanza na mkubwa kutekelezwa nchini kwani utapita katika mikoa 13 na lengo likiwa ni kuboresha mtandao wa barabara nchini na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafiri na usafirishaji ili kuchochea uzalishaji katika maeneo zinapopita barabara hizi na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla.
“Barabara zitazojengwa zitapita katika mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Arusha, Manyara, Dodoma, Tanga, Singida, Mbeya, Songwe, Lindi, Mtwara, Simiyu na Iringa na hivyo zitarahisisha usafiri wa wananchi na usafirishaji wa mazao ya misitu, biashara, chakula, uvuvi na ufugaji, malighafi za madini kama vile makaa ya mawe, grafaiti na Chuma”, amefafanua Waziri Mbarawa.
Aidha, Prof. Mbarawa ametaja miradi itakayotekelezwa kuwa ni ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi - Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea (km 435.8) , Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa (km 453.42), Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro - Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro – Singida (km 384.33), Igawa - Songwe – Tunduma (km 237.9), Masasi - Nachingwea - Liwale (km 175), Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago – Maswa (km 339) na barabara ya Mafinga - Mtwango – Mgololo (km 81).
Na ndio wenye akili. Mbowe kasema ukweli, wazanzibari wameamua kuuza shamba la bibi Tanganyika.Umekielewa wewe na wafuasi wenzako wa chama cha Mbowe.