MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #61
Joka kuu haiwezekani nchi yenye watu zaidi ya 60m ikawa sawa na nchi yenye watu 1.9m. Kila kitu kikiwa sawa basi Zanzibar itakuwa tu kama mkoa sio nchi tena. Itapoteza utambulisho wake wote. Na mnaosema Muungano uvunjike hamjui thamani ya usalama uliopo. Unajuwa kwanini Urusi aliamua kumpiga Ukraine?..yanayotokea yanafanya watu wauchukie muungano.
..Watanganyika na Wazanzibar wakiwa na haki sawa, na fursa sawa ndani ya muungano, malalamiko yatapungua, kama sio kwisha kabisa.