Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

Samia ndiyo rais tuliyekuwa tunamsubiri, nchi yetu inaitwa Tanzania hayo mambo mengine ni kwa wale waliozoea ubaguzi. Rais ameiunganisha mikoa iliyopuuzwa na kushaulika, matrilioni ya pesa kanda ya ziwa halafu hakuna hata uzalishaji wa maana. ahsante mama yetu mwenyenzi Mungu akupe maisha marefu mno km mzee Mwinyi
 
Kuna watauliza Kwa nini Rais Samia anafanya matengenezo Ikulu dar wakati Zanzibar kuna Ikulu.....chuki na ubaguzi hupofusha hata mtu mwenye akili
Mkuu ni bora kukaa kimya kuliko kujipotezea heshima ndogo uliyonayo humu.
Tunahoji kwanini waarabu wapewe bure na milele bandari zetu?
Tunahitaji majibu si matusi wala masimango
 
..hivi mnaelewa maana ya EPC+F?

..maana yake ni kuwa barabara zitajengwa kwa pesa za wakandarasi.

..kwa maana nyingine serikali inawakopa wakandarasi.

..wakandarasi wao wamekopa ktk mabenki na watalipa riba.

..kwa hiyo serikali italipa riba mara mbili, riba ya kumkopa mkandarasi, na riba ya mkopo wa mkandarasi benki.
 
Kakutuma Nani uzi wa kichonganishi! Umeenda madarasa mangapi!??
 
Kama huijui sawa, tuache sisi waTanganyika tushughulike na magaidi yanayouza rasilimali zetu.
Hakuna nchi ya Tanganyika. Labda ni nchi ya kwenye vichwa vyenu wewe na Mbowe. Mkishalewa Konyagi mnawaza upuuzi tu.
 
Hakuna nchi ya Tanganyika. Labda ni nchi ya kwenye vichwa vyenu wewe na Mbowe. Mkishalewa Konyagi mnawaza upuuzi tu.
Tanganyika ilipata Uhuru 9-12-1961, na nyerere akawa waziri mkuu baada ya mwaka mmoja 9-12-1962 ikawa jamuhuri Nyere akawa Rais wa Kwanza waTanganyika. Nchi iliyopata Uhuru kwanini isiwepo?
 
Tukimalizana na uzanzibari wa Mbarawa na Samia, tutahamia kwenye uchaga wa mwenyekiti na viongozi waandamizi. Dhambi ya ubaguzi huwa sumu yake inasambaa pakubwa sana. Tujihadhari sana katika kusaka ushawishi kwa wananchi
 
Tukimalizana na uzanzibari wa Mbarawa na Samia, tutahamia kwenye uchaga wa mwenyekiti na viongozi waandamizi. Dhambi ya ubaguzi huwa sumu yake inasambaa pakubwa sana. Tujihadhari sana katika kusaka ushawishi kwa wananchi

..basi iwe ruksa kwa Watanganyika kuajiriwa ktk taasisi za Zanzibar, na kuteuliwa kuwa mawaziri ktk Serikali ya Mapinduzi.

..Wazanzibari na Watanganyika tuwe na haki sawa ktk muungano. Sio sahihi Wazanzibar kuwa na haki zaidi yetu Watanganyika.
 
Huu mtindo wa ujenzi wa barabara ni kama tumejipiga bao wenyewe. Mtu mjinga wa aina yako ndio hajui madhara ya ujenzi wa aina hiyo.
 
Kwani wakijenga hizo Barabara ndo wajipe uharali wa kuuza bandari zetu? Acha utoto, na Kwani hizo pesa wanazojengea ni za kutoka kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…