Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

[emoji23][emoji23][emoji23] bwana wee, ila mimi quotes huwa nafuatilia labda iwe kwa bahati mbaya tu. Kwenye app sipati notification kwa hiyo huwa naenda kwenye browser
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bwana wee, ila mimi quotes huwa nafuatilia labda iwe kwa bahati mbaya tu. Kwenye app sipati notification kwa hiyo huwa naenda kwenye browser
Mimi kusema ukweli browser miaka buku ndiyo nimeshashindwa kutumia sijui kwanini, nikiingia kule sikai hata dakika mbili pananiboa nalog out.

JF browser naiona ngumu kama formula ya kutengeneza bomu la nuclear, japo watu kama kina Depal wanakuambia eti app ndiyo ngumu kuliko browser.
 
Huko huko,mie huwa namsifia basi tu wao hawaelewagi mapambio yangu
Jukwaa gani hilo la celebrities au? Maana nilisikia we huwa unamponda Diamond hadi mashabiki zake wanakudiss!
 
Hamna[emoji125][emoji125][emoji125]quarantine itakua ngumu tuliaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nilihisi vile

Kwamba anayekupiga ban ni mod mmoja tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mguu mtamu mimi nakata kucha siweki
Na vile unakuwaga mgumu jamani[emoji134][emoji134][emoji134], bora hata vipapatio vina tunyama kidogo.
 
Wallah usinipikie tu, bora nipike mwenyewe. Maana hata hivyo siwezi kuenjoy chakula nikiwa na stress za kuosha vyombo
Afadhali, mpishi na mwosha vyombo yupo. Taabu inakuja "chakula kinachopikwa"[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…