Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23][emoji23][emoji23] bwana wee, ila mimi quotes huwa nafuatilia labda iwe kwa bahati mbaya tu. Kwenye app sipati notification kwa hiyo huwa naenda kwenye browser[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo mimi ninachofanya siku hizi, ila huwa nahofia kuna watu wanaweza kuwa wameniquote na ukizingatia notifications sipati.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekumbuka kuna siku ulipotea then ulivyorudi ukasema "naanzia nilipoishia" nilicheka, wakati kuna watu tulikuwa tumekuquote kule juu.