Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo mimi ninachofanya siku hizi, ila huwa nahofia kuna watu wanaweza kuwa wameniquote na ukizingatia notifications sipati.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekumbuka kuna siku ulipotea then ulivyorudi ukasema "naanzia nilipoishia" nilicheka, wakati kuna watu tulikuwa tumekuquote kule juu.
[emoji23][emoji23][emoji23] bwana wee, ila mimi quotes huwa nafuatilia labda iwe kwa bahati mbaya tu. Kwenye app sipati notification kwa hiyo huwa naenda kwenye browser
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bwana wee, ila mimi quotes huwa nafuatilia labda iwe kwa bahati mbaya tu. Kwenye app sipati notification kwa hiyo huwa naenda kwenye browser
Mimi kusema ukweli browser miaka buku ndiyo nimeshashindwa kutumia sijui kwanini, nikiingia kule sikai hata dakika mbili pananiboa nalog out.

JF browser naiona ngumu kama formula ya kutengeneza bomu la nuclear, japo watu kama kina Depal wanakuambia eti app ndiyo ngumu kuliko browser.
 
Huko huko,mie huwa namsifia basi tu wao hawaelewagi mapambio yangu
Jukwaa gani hilo la celebrities au? Maana nilisikia we huwa unamponda Diamond hadi mashabiki zake wanakudiss!
 
Hamna[emoji125][emoji125][emoji125]quarantine itakua ngumu tuliaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nilihisi vile

Kwamba anayekupiga ban ni mod mmoja tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mguu mtamu mimi nakata kucha siweki
Na vile unakuwaga mgumu jamani[emoji134][emoji134][emoji134], bora hata vipapatio vina tunyama kidogo.
 
Wallah usinipikie tu, bora nipike mwenyewe. Maana hata hivyo siwezi kuenjoy chakula nikiwa na stress za kuosha vyombo
Afadhali, mpishi na mwosha vyombo yupo. Taabu inakuja "chakula kinachopikwa"[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom