Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Umri wako miaka mingapi?
 
Na yeye kukupa nyapu ni maamuzi yake, sio mna command hivyo.
 
Kwa nini unaona ni jukumu la mwanamme kumtafuta mwanamke?
 
Mimi usiponipigia simu naweza kumaliza Mwaka sijakusikia.

Ikiwa tu natuma sms inajibiwa basi kwangu inatosha na wala sina habari. Kupiga piga naona ni makelele tu.

Napiga simu ninapokuwa na jambo muhimu sana linalohitaji maelezo marefu au kutiliwa mkazo
 
Unafika mpaka chuo halafu hujui kuandika kiswahili? Kiingereza je? Hivi nyie vilaza mnalipeleka wapi hili taifa?
 
MD- Managing director?
 
 
Mmm
 
Huyo mdada ana mtu mwingine wewe tafuta anayekujali tena atakuwa ni mkewe alikwambia yupo busy basi huyo anajaliwa yupo naye, wewe anza tu kujitafuta
 
Huyo ni kama Mimi kabisa.kuna demu wangu nampenda Sana Ila huwa simtafutagi Mara kwa Mara inaweza kupita hata siku 4 hatujawasiliana. Mwanzoni alikuwa hanielewi kabisa Ila baadae akaja kunielewa. Uzuri siku tunapokutana faragha huwa nampelekea Moto Hadi anaomba poo! Na Hilo ndo huwa linamfanya azidi kunipenda na kuniamini.
Kuhusu nahitaji haya madogomadogo kwake siyo shida ni mdada asiye na njaa kwani ana kazi yake nzuri. Ko Mara chache nikimtoa out ndo huwa nalipia bill otherwise Hana njaa.
So haimanishi mpnz wako kukaa kimya kwamba hakupendi noo it's either hapendi kuongeaongea au Yuko bize au mazingra aliyomo siyo rafiki but ule muda unaobahatika kuwa nae faragha fanya tathimini utagundua kuwa kweli anakupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…