Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

TULIAMUA KWENYE KIKAO KUWA WANAUME WOTE TUTAFUTE PESA MAPENZI NI YA NDEGE WA ANGANI. PILI TULIKUBALIANA NI TA... MBILI YA TATU UNATOA WAZUNGU.TULICHOJIFUNZA KWA WANAWAKE KWA KARNE MOJA NI KWAMBA WANAWAKE HAWAFI MAPEMA ISUPOKUWA NI WANAUME.HIVO SASA TUNATAKA KUBADILI KADI YA MCHEZO.KUNA MAAZIMIO MENGINE NI SIRI YA KIKAO
 
Try to be less insecure and ego centric na kujiona wewe special sana, kuwa kila mara inabidi mwanamme aanzishe mawasiliano, mfikirie mwenzako pia kuwa na yeye ni special, na yeye kuna wakati unatakiwa wewe uanzishe mawasikiano.

Wanaume hawapo duniani kuwahudumia wanawake tu.
 
Ila Hii imetokea kwake tu sijui natengeneza nini ila ni ile hali ya mimi kutamani kuona ananipenda na ananifurahia
 
Ila Hii imetokea kwake tu sijui natengeneza nini ila ni ile hali ya mimi kutamani kuona ananipenda na ananifurahia
Hiyo si mbaya ila uwe na balance na wewe, usione ni haki yako tu kupendwa na yeye ni kazi yake tu kupenda.

Mapenzi ni two way street.

Na pia, watu tofauti wana namna tofauti za kuonesha mapenzi. Jifunze kuelewa what are his love languages.
 
Ooh Sawa tajitahidi
 
Upumbafu uliopo kwenye penzi ni kufikiria kufanyiwa wewe mema na wewe hufikirii kumfanyia mema

Fanya mema na usihesabu.

Siyo kila sauti inamisiwa kuna wanawake wanasauti za kharaha yaani ile kuisikia tu unakereka sauti nzito haijui kubembeleza

Unapopata mpenzi wa kiume kusudi lako wewe ni kumfanya apate utulivu wa akili na nafsi usipofanya hivo utaachwa tu au utapewa indicator ya kuachwa kama wewe huyo

Ukikataa ukweli utaumia mwanaume anayempa kipaumbele mwanamke ni yule tu humpa utulivu wa akili na nafsi aki ya baba bhuta mbazu ja kamama hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…