Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
You have to work on that.Maybe yes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You have to work on that.Maybe yes
Nitafute nikupe madini dogoHawa wavulana wabaya(bad boys/alpha males/gigachads/tyronnes) kwa kweli wananishangaza sana.
Itabidi niongee na mmoja anichoree ramani.
Nimelia sana 😃
TULIAMUA KWENYE KIKAO KUWA WANAUME WOTE TUTAFUTE PESA MAPENZI NI YA NDEGE WA ANGANI. PILI TULIKUBALIANA NI TA... MBILI YA TATU UNATOA WAZUNGU.TULICHOJIFUNZA KWA WANAWAKE KWA KARNE MOJA NI KWAMBA WANAWAKE HAWAFI MAPEMA ISUPOKUWA NI WANAUME.HIVO SASA TUNATAKA KUBADILI KADI YA MCHEZO.KUNA MAAZIMIO MENGINE NI SIRI YA KIKAOHabari zenu wana JF
Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )
Huu mwezi unaenda wa 5 niko na huyu Kijana nashindwa kumsoma kabisa sijui ni mahaba yamezidi kwake ama nimeanza kupoteza kujiamini..
Nilileta kisa kuwa huyu Kijana anatabia ya kuni ghost kiaina kitu ambacho kinaniweka dilemma..
Kwa upande wangu sijui kama nitakuwa ninakosea ama niko sawa
Hipo hivi, kutokana na mahusiano niliyopita nilishazoea hiki kitu kwamba mwanaume ndio ana jukumu la kupambania penzi haswa kwenye upande wa mawasiliano.. nimezoea kupigiwa simu, kutumiwa sms na kujaliwajaliwa.. sasa huyu mtu niliempata sasa ni tofauti kabisaa hali inayonifanya nijisikie vibaya nihisi kama hanipendi
Nisiwe Muongo, huyu Kijana mara nyingi amekuwa akinitafuta yeye kunisalimia na kuongeaongea blablah.. mimi humtafuta mara chache sana na hiyo kama nikiona amenichunia sana ndio namtafuta
Kinachoninyima raha zaidii huyu jamaa yeye hapigagi Simu zaidii ya sms tu.. yaani kuchat, na siku ukiona amekupigia simu ujue ni siku mnaenda kuonana ndio atapiga simu kukuelekeza alipo ama mtakapoonana zaidii ya hapo hutopokea simu yake.. na Kama ukimpigia simu huwa hapokei atakutumia sms am busy
Jamani huyo ni mpnz gani ambae hamiss sauti ya mpnz wake, yaani husuniano letu tangu tuanze ni hivohivo.. sikatai anaweza kuwa ni mtu ambae hapendi kuongea na simu but mara mojamoja kuna shida gani kama tutaongea.. mimi sio kwamba siwezi kumtafuta ni naweza sana ila kuna yake mazingira siyaelewi kwake,, yaani nahisi kama hanipendi najipendekeza kwake , kwaiyo napata ugumu sana kuwa namtafutatafuta
Navowaambia Leo ni siku ya 2 hatujawasiliana… mimi kwakweli sijui ni kiburi ama ni nini nashindwa kumtafuta kabisaa akili yangu inaniambia kama ananipenda yeye ndio aniangaikie sio mimi kumuangaikia yeye
Na kila nikisema namuacha unakuta ananitafuta basi Kuna vitu ananiambia ambavyo vinanifanya nimuonee huruma, utasikia kuna vitu napitia tukionana nitakwambia basi naghairi ila ndio hivyo mpk now sijaonana nae kutokana na sababu za kikazi
Naombeni ushaurii kwa Hii changamoto ninayopitia… je ninachofanya Mimi ni sahihi kumuacha yeye aniangaikie kwanza,, je Kuna mahusiano kweli hapa au napotezewa muda
Kweli mwanaume anaekupenda anaweza kukaa hajakutafuta siku 3 wala haongeagi na simu na mpnz wake maana Hii imekuwa mpya kwangu
HowYou have to work on that.
SawaHuna Tu shughuli ya kukufanya uwe busy unashinda ukimuwaza waza mtu ambaye tayari kashaonyesha dalili zote kwamba hakuhitaji tena
Mbona Unanifukuza, tumekukosea niniWasalimie wasukuma wenzio
Try to be less insecure and ego centric na kujiona wewe special sana, kuwa kila mara inabidi mwanamme aanzishe mawasiliano, mfikirie mwenzako pia kuwa na yeye ni special, na yeye kuna wakati unatakiwa wewe uanzishe mawasikiano.
Ila Hii imetokea kwake tu sijui natengeneza nini ila ni ile hali ya mimi kutamani kuona ananipenda na ananifurahiaTry to be less insecure and ego centric na kujiona wewe special sana, kuwa kila mara inabidi mwanamme aanzishe mawasiliano, mfikirie mwenzako pia kuwa na yeye ni special, na yeye kuna wakati unatakiwa wewe uanzishe mawasikiano.
Wanaume hawapo duniani kuwahudumia wanawake tu.
Hapana sikufukuzi mkuu… hata mwenye nimeleta story yake ni msukumaMbona Unanifukuza, tumekukosea nini
Hiyo si mbaya ila uwe na balance na wewe, usione ni haki yako tu kupendwa na yeye ni kazi yake tu kupenda.Ila Hii imetokea kwake tu sijui natengeneza nini ila ni ile hali ya mimi kutamani kuona ananipenda na ananifurahia
Ooh Sawa tajitahidiHiyo si mbaya ila uwe na balance na wewe, usione ni haki yako tu kupendwa na yeye ni kazi yake tu kupenda.
Mapenzi ni two way street.
Na pia, watu tofauti wana namna tofauti za kuonesha mapenzi. Jifunze kuelewa what are his love languages.
90 %Waukuma tunajielewa sanaHapana sikufukuzi mkuu… hata mwenye nimeleta story yake ni msukuma
Upumbafu uliopo kwenye penzi ni kufikiria kufanyiwa wewe mema na wewe hufikirii kumfanyia memaHabari zenu wana JF
Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )
Huu mwezi unaenda wa 5 niko na huyu Kijana nashindwa kumsoma kabisa sijui ni mahaba yamezidi kwake ama nimeanza kupoteza kujiamini..
Nilileta kisa kuwa huyu Kijana anatabia ya kuni ghost kiaina kitu ambacho kinaniweka dilemma..
Kwa upande wangu sijui kama nitakuwa ninakosea ama niko sawa
Hipo hivi, kutokana na mahusiano niliyopita nilishazoea hiki kitu kwamba mwanaume ndio ana jukumu la kupambania penzi haswa kwenye upande wa mawasiliano.. nimezoea kupigiwa simu, kutumiwa sms na kujaliwajaliwa.. sasa huyu mtu niliempata sasa ni tofauti kabisaa hali inayonifanya nijisikie vibaya nihisi kama hanipendi
Nisiwe Muongo, huyu Kijana mara nyingi amekuwa akinitafuta yeye kunisalimia na kuongeaongea blablah.. mimi humtafuta mara chache sana na hiyo kama nikiona amenichunia sana ndio namtafuta
Kinachoninyima raha zaidii huyu jamaa yeye hapigagi Simu zaidii ya sms tu.. yaani kuchat, na siku ukiona amekupigia simu ujue ni siku mnaenda kuonana ndio atapiga simu kukuelekeza alipo ama mtakapoonana zaidii ya hapo hutopokea simu yake.. na Kama ukimpigia simu huwa hapokei atakutumia sms am busy
Jamani huyo ni mpnz gani ambae hamiss sauti ya mpnz wake, yaani husuniano letu tangu tuanze ni hivohivo.. sikatai anaweza kuwa ni mtu ambae hapendi kuongea na simu but mara mojamoja kuna shida gani kama tutaongea.. mimi sio kwamba siwezi kumtafuta ni naweza sana ila kuna yake mazingira siyaelewi kwake,, yaani nahisi kama hanipendi najipendekeza kwake , kwaiyo napata ugumu sana kuwa namtafutatafuta
Navowaambia Leo ni siku ya 2 hatujawasiliana… mimi kwakweli sijui ni kiburi ama ni nini nashindwa kumtafuta kabisaa akili yangu inaniambia kama ananipenda yeye ndio aniangaikie sio mimi kumuangaikia yeye
Na kila nikisema namuacha unakuta ananitafuta basi Kuna vitu ananiambia ambavyo vinanifanya nimuonee huruma, utasikia kuna vitu napitia tukionana nitakwambia basi naghairi ila ndio hivyo mpk now sijaonana nae kutokana na sababu za kikazi
Naombeni ushaurii kwa Hii changamoto ninayopitia… je ninachofanya Mimi ni sahihi kumuacha yeye aniangaikie kwanza,, je Kuna mahusiano kweli hapa au napotezewa muda
Kweli mwanaume anaekupenda anaweza kukaa hajakutafuta siku 3 wala haongeagi na simu na mpnz wake maana Hii imekuwa mpya kwangu
unasema kwel 😳,,wacha nikimbie kama kibelengeNa unajihesabia pia una mahusiano?
Baby girl, you deserve better
Hakuna mtu hapo