Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Binti we angalia moyo wako tu,,npo na uyo jamaa ukipga asipopokea ole wako umuulize jibu utalopewa utajuta kuuliza,au asipojib mesej uliza uone🤣,na akikumis hakikisha upo active ole wako asikupate..........mambo ni mengi
Hawa wavulana wabaya(bad boys/alpha males/gigachads/tyronnes) kwa kweli wananishangaza sana.

Itabidi niongee na mmoja anichoree ramani.
 
Siku tatu tu ndio unalia lia, binafsi hata mimi niko hivo hivo sipendi kabisa kupigia simu mtoto wa mtu, kwa kifupi sipendi kupiga story kwenye simu labda niwe natoa taarifa au kupokea taarifa kuhusu jambo fulani, kama wewe unaamini kuongea ongea mara kwa mara kwenye simu ndio mapenzi mwache tu maana utalalamika sana na haita saidia ndio tulivo hivo hivo, hata mimi nimeachwa na madem wawili kisa swala hilo hilo nikasema fresh tu hata siwazi wala nini,
 
Alijisemea Eleanor Roosevelt kuwa Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people bi maana, akili kubwa hujadili mawazo, za kati hujadili matukio, na ndogo kabisa hujadili watu mwanangu. Mlipokutana hukututaarifu. Sasa unatutaarifu iweje? Isitoshe, sijui kama tunaweza kukusaidia hapa kwenye uga huu. Samahani kama nitakuudhi. Lengo ni kukufikirisha kwa fikra tekenyeshi.
 
Aise mlembo wangu ko ndy umekuja kunistaki humu. 🙆 please mama la mama nakupenda Kuna mchongo nafanya mambo yata kaaa sawa siunajuwa shughulizangu ni swala ya mda mambo yatakuwa sawa na 4,4,3 means kila baada ya masaa 4 ntakuwa nakupigia simu na 3 kablwa ya kulala ntakuwa nakupigia mlembo wangu your my future wife ❤️❤️ usinihangushe mlembo wangu ntabandilika 🙏🙏🙏
 
Binti we angalia moyo wako tu,,npo na uyo jamaa ukipga asipopokea ole wako umuulize jibu utalopewa utajuta kuuliza,au asipojib mesej uliza uone🤣,na akikumis hakikisha upo active ole wako asikupate..........mambo ni mengi
Halafu ni kama mchawi vile nimemaliza tu ku post uzi huu ameshanitumia na sms unaeza kuta yupo humu nae ni team kataa ndoa
 
Binti we angalia moyo wako tu,,npo na uyo jamaa ukipga asipopokea ole wako umuulize jibu utalopewa utajuta kuuliza,au asipojib mesej uliza uone🤣,na akikumis hakikisha upo active ole wako asikupate..........mambo ni mengi
Mimi kwakweli sijui niko vipi ni mtu ambae siwezi kuuliza chochote hata kama akikaa kimya wiki siwezi kumuuliza why yupo kimya, why hajapokea Simu yaani siwezi… yaani kuna namna ambavyo nipo sijui kama nipo sawa ama laa but mimi ni mtu ambae naenda vile unataka twende hata kama naumia kiasi gani ila nakuwa mgumu sana kumwambia mtu Anifanyie hivi na vile ili niwe na furaha, huwa naamini mtu sahihi kwako atakufanyia yaliyosahii sasa sijui kama nina kosea ama la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…