Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Wewe mwenyewe humpigii adi aanze yeye kila siku na yeye anawaza Kama unavyowaza
Kuimba kupokezana
Mimi sishindwi kumtafuta but kuna mazingira ya mahaba ambayo hayaoneshi kwangu mwisho wa siku mimi huwa Naona Kama najipendekeza kitu nachotamani atengeneze mazingira ya kufanya na mimi niwe namtafuta sasa hafanyi hivi nashindwa
Yaani hana matendo ya kimahaba
 
Huyu itakuwa ni moja ya wale wavulana wabaya(bad boys) wanaovuma humu jukwaani.

Anang'ata na kupuliza, kisha anakula.

Na vile wanawake mnapenda mateso, basi huchomoi.

Nadhani pia hao wavulana wabaya ndo wanasababisha single mothers.
Duuh mbona hafananiii.. ukimuona ni very innocent ni kitu kilichonivutia kwake
 
Hujui tu umuhimu wa mawasiliano kama hakuna commitment of communication mahusiano yanayumba,, sisemi mtafutane kama hela but kuwasiliana ni jambo zuri
Wewe acha yayumbe na ikibid yaanguke watu tuko wengi na wote tunasubir hiyo huduma toka kwako mrembo.
 
Hakuna mtu aliye busy kwa mpenzi wake ampendae, atatafuta hata dakika moja ya kukupigia asikie sauti yako. Kwahiyo dada silikiza moyo wako maana mapenzi hayana ushauri.
Ila ningekuwa mimi kwakweli ningeendelea na maisha yangu tuu hakuna kitu kinakera kama wewe ndio unaonyesha effort za mawasiliano mtu anajifanya yupo busy text ya asubuhi anajibu usiku, huo ni upuuzi. Kuna mambo mengi ya muhimu zaidi ya mapenzi dada.
Ni kweli mkuu mimi pia hilo jambo linanikosesha raha kwasababu ex wangu mimi alikuwa anafanya kazi ngumu sana kiasi kwamba akicheat akakudanganya yuko bize lazima uamini.. but hawezi acha kunitafuta hata siku moja huwa ananipa taarifa kwamba nitakuwa bize basi mtu unaelewa ila huyu unamuona anapost biashara zake ila kukutafuta aaah
 
kuna sababu nyingi pengine jamaa anakujaribu uvumilivu wako, pengine ni life style yake, pengine amebanwa na kazi hebu jaribu kufanya uchunguzi vizuri moja kwa moja kutoka kwake ndipo uchukue hatua
Anakuwa bize ni kweli sijakataa… but sidhani kama anakosa nafasi ya kula kwanini muda anaokula ama kwwnda kukojoa asinicheck
 
Aise mlembo wangu ko ndy umekuja kunistaki humu. 🙆 please mama la mama nakupenda Kuna mchongo nafanya mambo yata kaaa sawa siunajuwa shughulizangu ni swala ya mda mambo yatakuwa sawa na 4,4,3 means kila baada ya masaa 4 ntakuwa nakupigia simu na 3 kablwa ya kulala ntakuwa nakupigia mlembo wangu your my future wife ❤️❤️ usinihangushe mlembo wangu ntabandilika 🙏🙏🙏
Mlembo mlembo au sio
 
Back
Top Bottom