Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Siku tatu tu ndio unalia lia, binafsi hata mimi niko hivo hivo sipendi kabisa kupigia simu mtoto wa mtu, kwa kifupi sipendi kupiga story kwenye simu labda niwe natoa taarifa au kupokea taarifa kuhusu jambo fulani, kama wewe unaamini kuongea ongea mara kwa mara kwenye simu ndio mapenzi mwache tu maana utalalamika sana na haita saidia ndio tulivo hivo hivo, hata mimi nimeachwa na madem wawili kisa swala hilo hilo nikasema fresh tu hata siwazi wala nini,
Kwaiyo hata simu hupigi tangu muanze husiano
 
Utamu kiasi gani kwa wanaume wako unao date nao unajua wewe, sie ushauri gani unataka, angalia yupi mtamu ww unajua mfuate
 
Habari zenu wana JF

Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )

Huu mwezi unaenda wa 5 niko na huyu Kijana nashindwa kumsoma kabisa sijui ni mahaba yamezidi kwake ama nimeanza kupoteza kujiamini..

Nilileta kisa kuwa huyu Kijana anatabia ya kuni ghost kiaina kitu ambacho kinaniweka dilemma..

Kwa upande wangu sijui kama nitakuwa ninakosea ama niko sawa

Hipo hivi, kutokana na mahusiano niliyopita nilishazoea hiki kitu kwamba mwanaume ndio ana jukumu la kupambania penzi haswa kwenye upande wa mawasiliano.. nimezoea kupigiwa simu, kutumiwa sms na kujaliwajaliwa.. sasa huyu mtu niliempata sasa ni tofauti kabisaa hali inayonifanya nijisikie vibaya nihisi kama hanipendi

Nisiwe Muongo, huyu Kijana mara nyingi amekuwa akinitafuta yeye kunisalimia na kuongeaongea blablah.. mimi humtafuta mara chache sana na hiyo kama nikiona amenichunia sana ndio namtafuta

Kinachoninyima raha zaidii huyu jamaa yeye hapigagi Simu zaidii ya sms tu.. yaani kuchat, na siku ukiona amekupigia simu ujue ni siku mnaenda kuonana ndio atapiga simu kukuelekeza alipo ama mtakapoonana zaidii ya hapo hutopokea simu yake.. na Kama ukimpigia simu huwa hapokei atakutumia sms am busy

Jamani huyo ni mpnz gani ambae hamiss sauti ya mpnz wake, yaani husuniano letu tangu tuanze ni hivohivo.. sikatai anaweza kuwa ni mtu ambae hapendi kuongea na simu but mara mojamoja kuna shida gani kama tutaongea.. mimi sio kwamba siwezi kumtafuta ni naweza sana ila kuna yake mazingira siyaelewi kwake,, yaani nahisi kama hanipendi najipendekeza kwake , kwaiyo napata ugumu sana kuwa namtafutatafuta

Navowaambia Leo ni siku ya 2 hatujawasiliana… mimi kwakweli sijui ni kiburi ama ni nini nashindwa kumtafuta kabisaa akili yangu inaniambia kama ananipenda yeye ndio aniangaikie sio mimi kumuangaikia yeye

Na kila nikisema namuacha unakuta ananitafuta basi Kuna vitu ananiambia ambavyo vinanifanya nimuonee huruma, utasikia kuna vitu napitia tukionana nitakwambia basi naghairi ila ndio hivyo mpk now sijaonana nae kutokana na sababu za kikazi

Naombeni ushaurii kwa Hii changamoto ninayopitia… je ninachofanya Mimi ni sahihi kumuacha yeye aniangaikie kwanza,, je Kuna mahusiano kweli hapa au napotezewa muda
Kweli mwanaume anaekupenda anaweza kukaa hajakutafuta siku 3 wala haongeagi na simu na mpnz wake maana Hii imekuwa mpya kwangu
Nusu na nusu zikiungana inakua kitu kizima (weka tabia zako aweke zake mtengeneze ukamilifu na hii ndio maana halisi ya mahusiano).

And let's talk positively now...

Iko hivi, usichokijua ni kwamba watu hutofautiana kisifa kwahiyo unavyohama kutoka kwenye mahusiano ya zamani kwenda mapya inatakiwa sifa za yale ya zamani uachane nazo kabisa ili uweze kuanza upya.

Na unapoanza upya lazima utakutana na mapungufu tu, na kwenye hayo mapungufu yapo ambayo yanaweza kubadilika kwa haraka lakini yapo mengine ambayo yanahitaji muda kubadilika (kwahiyo ni wewe sasa kupima kama yanavumilika kwako au hayavumiliki kwa maana mwisho wa siku mapenzi ni maisha na ili uweze kufurahia lazima uwe comfortable).

Lakini pia mwanamume yeyote mwenye ndoto kubwa na anaechukua hatua thabiti kuzifikia ndoto zake usitegemee atakuwa anapatikana Kila wakati (tunapambania kombe na always tupo na vipaombele vyetu, kwahiyo ukiweka kwenye mzani mapenzi na pesa utagundua mapenzi yapo tu, usipoyapata ujanani utayapata, but vipi kuhusu pesa?).

Kwahiyo wanamume ambao wapo available Kila wakati ni wale ambao tayari walishatimiza ndoto zao au ni wale ambao hawana mishe za kufanya au ni wale ambao wamesharidhika na walichonacho au ni wale ambao wanakujaza ili wapate wanachotaka na wakishapata wanarudi kwenye default mode yao au ni low value man (so ukiona mpenzi wako yuko available sana inatakiwa ukae kitaalamu kidogo).

Lakini pia unapaswa ujiulize ya kwamba wanawake wanapenda sana kupewa attention so huo muda wa kubebishana ambao anakupa wewe hadi kukufanya uhisi furaha yako iko mikononi mwake anaouwezo wa kuwapa wanawake wengine kama wewe na wakajihisi kama unavyojihisi.

Ila mwanamume ambae Hana huo muda ni ngumu sana kudate na Kila mwanamke kwa maana wengi wanakua ni high value men.

NB:
Wadada wengi ambao wanasifiwa mara kwa mara kwamba wao ni wazuri au wale wadada ambao wako vizuri kiuchumi au wale wadada ambao wako na vyeo makazini au wale wadada ambao wako karibu sana na baba zao huwa wako na tabia ya aina hiyo.
 
Halafu ni kama mchawi vile nimemaliza tu ku post uzi huu ameshanitumia na sms unaeza kuta yupo humu nae ni team kataa ndoa
Hahahaha we sema na moyo wako,kuna watu wameumbwa ivo
 
Binti we angalia moyo wako tu,,npo na uyo jamaa ukipga asipopokea ole wako umuulize jibu utalopewa utajuta kuuliza,au asipojib mesej uliza uone🤣,na akikumis hakikisha upo active ole wako asikupate..........mambo ni mengi
Hakuna mapenzi hapo
 
Na mie natoa ushauri kwa mara ya mwisho :ANAKUTUMIA TU ACHANA NAE na ameshajua wewe ndio unampenda.
 
Akupambanie kukutafuta n kukupetipeti na bado awe anatumia hela yake kukuhudumia wewe Kama mtt wake, basi wewe pambania ama simamia limoja kati ya hayo.
Wewe ndio mnufaika mkubwa wa mahusiano mwanaume yeye anafaidika ngono tu Tena Muda machache mno, Ila wewe waweza kutunziwa kv kulishwa,kuvalishwa akakupa mbegu ukapata mtt, akajenga nyumba ukaishi na mwanao,akakusomeshea mwanao Mana mwishoni atakuwa anapiga stori na wewe na ataandika kwenye gari lake kuwa ni nani Kama mama,.
Yaani mie naona Kama mahusiano Yana faida kubwa kwako mno kuliko mwanaume, mwanaume yeye ni kukut00mba napo utataka ahangaike zaidi ili uridhike ama akukojoleshe Nako itabidi awaze namna ya kukupiga paipu,
Yaani wewe kuhangaika kitandani ukampa romance,ukaikatikia mpaka safari ama amalize round tatu yeye amelala tu anasikilizia utamu na unavyojituma Nina uhakika huwezi,yaani ukatike mwanaume akojoe vitatu utaawahi kujilaza kuwa umechoka, yaani hizi tamaa tulipewa za kuwa watumwa wenu, na ndio alioa mwingine unanuna na ilhali Kila kitu unapewa.
So pambana Mana hujui Kama utapata mwingine usiwe mbinafsi wa kupenda faida Kila eneo, pengine jitoe na wewe ,mhangaikie ama huna shida Naye unaweza ukaishi na dildo ama paka, haya bana najua mmependelewa
 
Nilishamzungumzia humu wala hajawai nihudumia hata mia hiyo sex tunafaidishana wala hanigharamikiii kwa chochote
 
Back
Top Bottom