Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Kijana wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Nakushauri acha kutembea na vilainishi vya aina yyte kama ni kwenye gari au mfukoni maana nahisi vinaweza tumika kwa ajili yako muda wwte kuanzia sasa
 
mwenye mke kawaida anaweka visasi moyoni, hata kusahau ndugu.
ni kweli mwembamba, akiandaa kikosi kazi chake. mzee unakojolewa vizuri tu
 
Mkuu mbona umekimbilia kifo
Chief, huwa kuna streets rules na sheria za nchi, za nchi ndio ile mtu unasikia kafungwa, kapelekwa police n.k

Sheria za mtaa kwa kesi hizi za wake wa watu maamuzi huwa ni mawili tu,

1. Marinda huwa hayabaki
2. Ndio huko unaposema nimekimbilia

Umenielewa?
 
Achana na mke wa ntu tena mkimbie hasa ndugu utakula mbohoo ya makalio. Kuna K za maana tu kwa Wahaya hapo Mwananyamala ama Faya kuna **** za KIHINDI. Kama kakupa onyo mara 3 nakushauri uhame jiji.
 
Unaweza waza amenda nje kumbe yupo bongo anakunyemelea, acha ujinga kula wake za watu, si utafute wako
 
Achana na mke wa ntu tena mkimbie hasa ndugu utakula mbohoo ya makalio. Kuna K za maana tu kwa Wahaya hapo Mwananyamala ama Faya kuna ** za KIHINDI. Kama kakupa onyo mara 3 nakushauri uhame jiji.
Faya kuna * za kihindi? Kuanzia muda gani wanajipanga barabarani?
 
Af ukifilwa uione dunia ngumu ujinyonge au sio? Kazana kumla mke wangu tu
 
Sikuhizi ukijaa kwenye anga za watu wanakuchekecha vizuri firigisi, utumbo, maini, bandana na ugali wa dagaa uliokula vinavurugana humo tumboni alafu wanakuacha unaenda kufia mbele huko. Petrol bei juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…