Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

Kuna mijitu mijinga humu yenyewe haijui chochote zaidi ya ushabiki wa kijinga, wap wanaamini palestina ndio mchokozi.wakati palestina anapigania uhuru wake.
Kama anapigania uhuru wake, tuambie Israel kwao ni wapi? Shida ya Palestinians ni dini, kwani wangekubali kuishi kwa pamoja na wayahudi shida ingetoke wapi?
 
Kuna mijitu mijinga humu yenyewe haijui chochote zaidi ya ushabiki wa kijinga, wap wanaamini palestina ndio mchokozi.wakati palestina anapigania uhuru wake.

Hasa haya hapa: MK254, Nkanini na buza buza huko yamejaa tele ati kuwa ni maisrael kuliko hata kina Yitzhak Rabin.
 

Kila siku mnanyanyua makalio lakini kipigo ni kile kile

 
Kama anapigania uhuru wake, tuambie Israel kwao ni wapi? Shida ya Palestinians ni dini, kwani wangekubali kuishi kwa pamoja na wayahudi shida ingetoke wapi?

1. Two state solution hujapata hata kuisikia ndugu?



2. Kwamba Trump ndiye huyo ila wewe bado tu unashupaza shingo?
 
Sasa kumpa mtu msaada wa silaha halafu unamwambia acha vita mara moja, nadhani ni aina nyingine ya wendawazimu
 
Nasisitiza kuwa VITA ni upumbavu mkubwa

1. Ni mwenda wazimu pekee anaweza kuchagua vita badala ya maelewano.



2. Kulikoni dhuluma? Chanzo cha vita ni dhuluma.

3. Dhulma haukubaliki!

4. Babu zetu walilazimika kupigania Mau Mau, Maji maji nk wakikataa dhulma.
 
Kila siku mnanyanyua makalio lakini kipigo ni kile kile


1. Jahazi linapoendelea kuzama:



2. Kwa Mpalange pale, waisrael mnasikika: "hiiiiii ...iii!"

3. Kwa hakika mwisraeli mna mwakilisha!
 
Ila inashangaza sana, Israel imechanganyikiwa, vita ya Gaza miezi sita anapigana na Hamas halafu bado anarusha ndege kupiga balozi ya Iran.

Dah! Jamaa ni weupe vichwani. Hapo wanataka WW3 hao washenzi.

Wanasema

1. Alimradi mwana mkaidi kazini!

2. Mbwa ukimwendekeza atakufata hadi madhabahuni.



3. Alipo sasa kalikoroga, muda wake wa kulinywa lote!
 
Asubiri kwanza Netanyahu afanyiwe opereshen ya tezi dume na Iran alafu ndo atoe wazo lake la vita kusitishwa
Mbona kama ayatollah ndio anafanyiwa operation sasa?!
Kile kipigo cha syria sio mchezo
 

Wamarekani waongo tu, wanafik hao.
 
Wamarekani waongo tu, wanafik hao.

1. Ni waongo lakini hili la watu wao 7, dawa imewaingia na waisiraeli wote wakiwamo wa kwetu Buza, walipo wanatweta kwa kihoro.

2. Unajua baada ya dakika chache tu ya mkoromo wa Joe mwisraeli mmoja atakuwa kasikia vyema mno, kuliko hata maelezo.

3. Tayari bandari ya Ashdod iliyokuwa imefungwa miaka na miaka imefunguliwa kuanza kuhudumia; fikiria tena ni kuhudumia Gaza kaskazini!

4. Kulia kushoto, 7 wale watamgharimu Natenyahu milele.
 
Mvaa kanzu mwingine huyu hapa.
 

Attachments

  • IMG_2517.jpeg
    417.3 KB · Views: 2

Usidanganyike. Bandari imefunguliwa ili Wapalestina waswagwe waondokee huko kwa njia ya bandari wakatupwe nchi za mbali na hapo, haikufunguliwa kwa sababu za kuwasaidia.

Wamarekani ni wanafik na serikali zote kuanzia za Kiarabu mpaka Wamarekani na Ulaya, mpaka huku kwetu zimeshikwa na mazayuni au vibaraka wa mazayuni.

Wapalestina wataokolewa na Allah tu, lakini si Mmarekani hata kidogo.
 
1. Tofautisha kusema vita kusimama na vita kusimama sasa; ndugu mwisraeli tokea pande za Buza kwa Mpalange pale!

2. Kwani wewe hutaki vita kwisha ndugu?
Nataka wewe na maswahiba zako mchabangwe hadi muone nyotanyota!Mmezidi kudekadeka.
 
Nataka wewe na maswahiba zako mchabangwe hadi muone nyotanyota!Mmezidi kudekadeka.

1. Si tulikubaliana kuwa hapa ulikuwa ukiwaambia wale wahusika wenyewe; yaani marehemu?



2. Kwamba kwa kuwa miye na weye hatuna maswahiba huko, hivyo utajielekeza kuwafikishia ujumbe wako wahusika moja kwa moja?

3. Kulikoni tena kuanza kuzisahau vows zako?



4. Vipi mrejesho ungali hujapata bado?
 
Mnazugwa.Kaeni kwa utulivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…