Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

1. Udaku utawahusisha wanaume wa shoka hawa?

View attachment 2954115

2. Au ndiyo wale waisrael wa buza mko kwenye kuugulia Maumivu?

View attachment 2954135

3. Kikinuka waungwana huchutama!

4. Kwamba anayeamuru vita kusita humwoni?
Kumbe USA wakiongea maneno yanayowafurahisha ni wanaume
Ila wakiwa against na nyie ni mashoga?
Sasa naelewa kwanini wachina wanasema islam is a mental illness need to be cured
 
Uhuru ama ugaidi?!

IMG_1567.jpg
 
Usidanganyike. Bandari imefunguliwa ili Wapalesgtina wasagwe waondokee huko kwa njia ya bandari wakatiupwe nchi za mbali na hapo, haikufunguliwa kwa sababu za kuwasaidia.

Wamarekani ni wanafik na serikali zote kuanzia za Kiarabu mpaka Wamarekani na Ulaya, mpaka huku kwetu zimeshikwa na mazayuni au vibaraka wa mazayuni.

Wapalestina wataokolewa na Allah tu, lakini si Mmarekani hata kidogo.

1. Wamarekani wanafiki sana, yes; lakini hiki kimewanukia!



2. Kombe halifumikiki tena mwana kharam kama mbwa, wamemwendekeza na sasa kawafuata hadi madhabahuni.

3. Watake wasitake, hiki kimeumana!
 
Mnazugwa.Kaeni kwa utulivu.

1. Kama Huku ni kuzugwa?

2. Kuzugwa huku ni kwema sana; kama vipi, mwendo ukiwa huu, tunafarijika mno!



3. Kwa hakika kama ndivyo, tutasema: "kazi iendelee."


 
Ukiwasikia hivyo hao mashetani kimarekani ujuwe wao na vibaraka wake ndiyo wameandaa washambulie.

Waongo sana nguruwe hao.

1. Ninaamimi kwenye hili kimenuka:



2. Sababu kuu walio binadamu, hatimaye nao wameuwawa.

3. Sasa wameelewa (the hard way) nini maana yake mauwaji ya kijinga.
 
1. Ni wewe huyu niliyekuona hapa:

e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.


kwenye Uzi huu wa madude ya pande za kwetu?

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

2. Kwa majina mnaitwa chawa, miye siyo mmoja wenu!

Masaa 48 yameisha, badala ya kushambulia Israel bado mnanyanyua haya mavitu

main-qimg-17512da37a0b1e02107ce7cc1999f006
 
Back
Top Bottom