October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Pumbavu sana we mpenba na umbeya wakoMwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29 Bibiye aambiwa atoe kafara bibie akasusa akaenda kwao. Wamjuza weeye huku mambo yaenda kihuni. Ikaamuliwa SGR wapigike watu ili kafala litokee. Mayii! Ikagoma waambiwa Majini yaligoma kafala. Hayataki. Wahuni wakaleta mganga kutoka huko kwa ujomba. Ndo aambiwa muda umebaki mchache. Hakuna jinsi risasi ndo kafala.
Bibiye akauliza wangapi wafa. Apewe idadi ahamaki. Hee nye mbona wengi. Akaambiwa atoe mwanafamilia akagoma. Mo29 kafala llikatolewa. Hapa aambiwa lile kafala limekataliwa kuna masharti yalikosewa. So ama akubali kafala jingine au familia yake au yeye aondolewe. Au apigwe kiharusi. Sijui walahi. Na bado
Controlled audienceMwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29 Bibiye aambiwa atoe kafara bibie akasusa akaenda kwao. Wamjuza weeye huku mambo yaenda kihuni. Ikaamuliwa SGR wapigike watu ili kafala litokee. Mayii! Ikagoma waambiwa Majini yaligoma kafala. Hayataki. Wahuni wakaleta mganga kutoka huko kwa ujomba. Ndo aambiwa muda umebaki mchache. Hakuna jinsi risasi ndo kafala.
Bibiye akauliza wangapi wafa. Apewe idadi ahamaki. Hee nye mbona wengi. Akaambiwa atoe mwanafamilia akagoma. Mo29 kafala llikatolewa. Hapa aambiwa lile kafala limekataliwa kuna masharti yalikosewa. So ama akubali kafala jingine au familia yake au yeye aondolewe. Au apigwe kiharusi. Sijui walahi. Na bado
Nyuzi kama hizi zenye kujaa taarabu zina halibu harakati za kupambana na huyu kahaba tena zinaonyesha woga kwa waleta nyuzi ...wenyewe mnadhani code ni ushindi kumbe mnampa nguvu kahaba na wahuni wenzie wakijua bado mna waogopa .....hua nashanga mtu unaogopa nini ?Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29 Bibiye aambiwa atoe kafara bibie akasusa akaenda kwao. Wamjuza weeye huku mambo yaenda kihuni. Ikaamuliwa SGR wapigike watu ili kafala litokee. Mayii! Ikagoma waambiwa Majini yaligoma kafala. Hayataki. Wahuni wakaleta mganga kutoka huko kwa ujomba. Ndo aambiwa muda umebaki mchache. Hakuna jinsi risasi ndo kafala.
Bibiye akauliza wangapi wafa. Apewe idadi ahamaki. Hee nye mbona wengi. Akaambiwa atoe mwanafamilia akagoma. Mo29 kafala llikatolewa. Hapa aambiwa lile kafala limekataliwa kuna masharti yalikosewa. So ama akubali kafala jingine au familia yake au yeye aondolewe. Au apigwe kiharusi. Sijui walahi. Na bado
Nyuzi kama hizi zenye kujaa taarabu zina halibu harakati za kupambana na huyu kahaba tena zinaonyesha woga kwa walera nyuzi ...wenyewe mnadhani code ni ushindi kumbe mnampa nguvu kahaba na wahuni wenzie wakijua bado mna waogopa .....hua nashanga mtu unaogopa nini ?
state capture, kuna mtu humu ndani kiaka ya nyuma aliwahi gusiaBibi wa watu aliya aliya. Mumewe alimshauri akampuuza. Kuna watoto wake wawili walimuambia asiendelee lakin mutandao wakamtishia maisha. Mayii! Imagine amir jeshi ni mateka na anatishiwa kama kinyago heeeheee. Dunia vioja walahi
Mara ya mwisho anijuza anionea gele.Controlled audience
Controlled communication
Controlled movements
Controlled speeches...
state capture, kuna mtu humu ndani kiaka ya nyuma aliwahi gusia
Kuna kikundi so powerful that kinaweza amua rais awe nani na afanye nini
Chawa wengi sana hadi kwenye magroup ya vyama wanajitengaIla kweli wewe ulikuwa ni chawa wake. Sijui umekumbwa na nini mpaka ukaamua kumgeuka Bosi wako. Bado tunamsubiria na Lucas Mwashambwa na yeye akili zimrudie.
Yeye ndiye atakuwa kafara kipindi hiki
Siku hizi kwenye vikao hakuna kuingia na simu. Afu wapewe simu ya kutumia wakati heeehee.Ila kweli wewe ulikuwa ni chawa wake. Sijui umekumbwa na nini mpaka ukaamua kumgeuka Bosi wako. Bado tunamsubiria na Lucas Mwashambwa na yeye akili zimrudie.
Ukumpenda .....uwezi kumpenda mtu kwa kumlisha upumbavu na kumshabikia kisha hakisha halibu ndiyo unakuja kusema eti ulimpenda ....ni kama mashekh wanawezaje kusema wanampenda Samia kwa kumpotosha kwa kumshabikia kwenye mambo maovu.?mtu unaye mpenda kweli unamtakia njia za HAKI na kumuonya na njia za DHURUMA...Nalia ujue. Nilimpenda huyu bibiye. Lakini amelikoroga miye sijui walahi. Na bado
Mimi uzuri siku hizi watu wanaoandika kichizichizi ndio ninaowazingatia zaidi siwapuuzii hata kidogo... wapo machizi wanaoongea ukweli niamini mimiBibi wa watu aliya aliya. Mumewe alimshauri akampuuza. Kuna watoto wake wawili walimuambia asiendelee lakin mutandao wakamtishia maisha. Mayii! Imagine amir jeshi ni mateka na anatishiwa kama kinyago heeeheee. Dunia vioja walahi