Nathibitishiwa hapa kiongozi wa banana republic ni mateka wa wanamtandao

Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29 Bibiye aambiwa atoe kafara bibie akasusa akaenda kwao. Wamjuza weeye huku mambo yaenda kihuni.

Ikaamuliwa SGR wapigike watu ili kafala litokee. Mayii! Ikagoma waambiwa Majini yaligoma kafala. Hayataki. Wahuni wakaleta mganga kutoka huko kwa ujomba. Ndo aambiwa muda umebaki mchache. Hakuna jinsi risasi ndo kafala.

Bibiye akauliza wangapi wafa. Apewe idadi ahamaki. Hee nye mbona wengi. Akaambiwa atoe mwanafamilia akagoma. Mo29 kafala llikatolewa. Hapa aambiwa lile kafala limekataliwa kuna masharti yalikosewa. So ama akubali kafala jingine au familia yake au yeye aondolewe. Au apigwe kiharusi. Sijui walahi. Na bado
heart attack
 
Kwa mujibu wa polepole ni kj, rost, Emma, wassira, knana. n.k
Ni kundi kubwa maana kuna wa chini yao ambao no vijana wao
Mtandao ni kikundi kidogo, hao wachini ni vijakazi tu…wanacheza na mziki utakao pigwa juu (kutii maagizo)....ni kama vile kwa JPM, ameingia tu…wachini nao wakajikuta wazalendo…
 
Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29 Bibiye aambiwa atoe kafara bibie akasusa akaenda kwao. Wamjuza weeye huku mambo yaenda kihuni.

Ikaamuliwa SGR wapigike watu ili kafala litokee. Mayii! Ikagoma waambiwa Majini yaligoma kafala. Hayataki. Wahuni wakaleta mganga kutoka huko kwa ujomba. Ndo aambiwa muda umebaki mchache. Hakuna jinsi risasi ndo kafala.

Bibiye akauliza wangapi wafa. Apewe idadi ahamaki. Hee nye mbona wengi. Akaambiwa atoe mwanafamilia akagoma. Mo29 kafala llikatolewa. Hapa aambiwa lile kafala limekataliwa kuna masharti yalikosewa. So ama akubali kafala jingine au familia yake au yeye aondolewe. Au apigwe kiharusi. Sijui walahi. Na bado
Unaleta taharuki
 
Back
Top Bottom