Kuna mtangazaji fulani wa radio fulani yeye ukiisema serikali ya chama cha kijani vibaya anakata simu ila ukiisifia serikali ya chama cha kijani anasupport sana na kuona wewe ndio unasema vizuri na anakupa hata dakika za ziada ili uongee zaidi ila ukipiga simu ukaanza kusema serikali ya chama cha kijani haitendi haki hivi na hivi na vile anakata simu, ingawa watangazaji wengine wakitangaza kipindi hicho hicho hawawi km yeye wanawasikiliza watu wote bila kuwabagua, nimekua nikimchora muda mrefu sana yule sister