Nathibitishiwa hapa kiongozi wa banana republic ni mateka wa wanamtandao

Nathibitishiwa hapa kiongozi wa banana republic ni mateka wa wanamtandao

Powerful au corruptive? Nadhani ni muda muafaka wa kuita kisu kisu, panga panga na kijiko kijiko, mtu muovu ni dhaifu mbele ya ulimwengu wa watu waliostaarabika. Mwite kwa jina lake, mshenzi/washenzi au corruptive na sio powerful.
Am afraid you have a point. Call it what it is
 
Mimi uzuri siku hizi watu wanaoandika kichizichizi ndio ninaowazingatia zaidi siwapuuzii hata kidogo... wapo machizi wanaoongea ukweli niamini mimi
Amini nakuambia uko makini..na chizi unaemzingatia anajua..na anajua kuliko maelezo..
 
Huenda kweli walitoa watu kafara maana

1. Maandamano yalikuwa ni ya siku moja tu tarehe 29, baada ya hapo siku zilizofuata ilikuwa ni kuwawinda wananchi mitaani wasio na hatia na kuwapiga shaba

2. Walikuwa wanaua hata watu wanaokimbia, ambao hawana mpango wowote na maandamano.
 
Ila kweli wewe ulikuwa ni chawa wake. Sijui umekumbwa na nini mpaka ukaamua kumgeuka Bosi wako. Bado tunamsubiria na Lucas Mwashambwa na yeye akili zimrudi.

Labda kaona mbali kaamua kutubu na kuokoka
 
Back
Top Bottom