Nathibitishiwa hapa kiongozi wa banana republic ni mateka wa wanamtandao

Kuna mtangazaji fulani wa radio fulani yeye ukiisema serikali ya chama cha kijani vibaya anakata simu ila ukiisifia serikali ya chama cha kijani anasupport sana na kuona wewe ndio unasema vizuri na anakupa hata dakika za ziada ili uongee zaidi ila ukipiga simu ukaanza kusema serikali ya chama cha kijani haitendi haki hivi na hivi na vile anakata simu, ingawa watangazaji wengine wakitangaza kipindi hicho hicho hawawi km yeye wanawasikiliza watu wote bila kuwabagua, nimekua nikimchora muda mrefu sana yule sister
 
Acha kudanganya umaa,unataka kutuamisha kuwa kina Jk walikuwa hawana option ya mtu mwingine kama yeye angekataa kipind kile,hajatekwa wala nn anajua kila kinachoendelea sema waganga hawana msaada kama mwenyes mungu hajataka uwe,ukiona uchawi unakusaidia bas Mungu kaamua ukusaidie
 
Yule wa nyuma ndio mpango wa mtandao. Huyu bibiye washamalizana naye
Ilo nalijua lkn wote wataondoka

Before 2030 huu mchezo wanaucheza lakini una hatari kubwa kwao hakuna aliye salama Kati yao

Sio Kikwete sio Rostam Azziz sio Nchimbi

Na maandamano yataendelea mpaka pale hii nchi itapata Uhuru wa kweli

Hawa wanatengeneza tukio halafu waje kuleta story za maridhiano baada ya Nchimbi kuapishwa hawatafanikiwa hata kidogo

Uchaguzi urudiwe kabla ya yote
 

Heee heee na bado
 
Sasa si ungemtaja tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…