NATO itaiponza Ukraine. Leo wametangaza kupeleka ndege vita huko Ukraine

Ni hatar kwa Ukraine au kwa dunia ndugu. Ujiandae ulimwengu unaelekea kubaya zaid na wenye hali mbaya zaid ni sisi maboya. Hatujajiandaa kwa kinachokuja.
 
Walifanya makusudi kuinyima Ukraine hizi ndege mapema ili kuifanya vita iwe ya muda mrefu. Hizi ndege zingeenda mapema zingesaidia sana kuipa Ukraine position nzuri.
Safi sana. Kwamba mrussi akili hana? Na baada ya kuzileta,mfumo ni ule ule? Sema tu,vita ilipoanza,watu walijazwa ujinga na media. Baada ya muda mpaka leo, ukweli usemwe,Ukraine hajaingia vitani,hapigani vita,na hawezi. Vita ni kati ya Russia na USA. Maana hata hiyo NATO, ni USA. Nashangaa kinachowasha waAfrica sasa.
 
Israeli aliona anashindwa vile vita ndo na usa uingereza na ujeruman.. ndo waliona ni aibu pale walipoenda kubadilishana mateka na lengo lilikuwa waone wanatokea wapi .baada ya hapo wakubwa wa dunia walitoa kila aina ya silaha ili wafiche aibu ile ya kushindwa na hammasi .ndo wakawa wanashambulia na kuua kila kitu kilichopo mbele yao pamoja na msikit .makanisa na mahospitali
 
Ukraine hawezi kupigana na urusi. Hizi ndege zinakuja na marubani 25 waliopewa mafunzo ya kuzirusha huko Denmark maana yake hata marubani hawana unafikiri wanaweza kupigana mwaka mmoja mbele kutoka sasa?
Ukraine hawajawahi kuwa na haja ya kupigana na Urusi.

Ukraine analinda Taifa lake.

There’s quite a difference.
 
Kwani ndege za NATO ndiyo mara ya kwanza kutumika Ukraine?

Silaha karibia zote anazotumia Ukraine ni za NATO.

NATO hapo wanatumia media kulikuza hili ili mauwaji ya kikatili yanayofanyika Ghaza yasionekane.
 
Kwamba Ukraine angekubali Rais wao kutoka madarani na pia wanajeshi wake wasijibu chochote pindi Russia walipoivamia? Inaingia akilini kweli!!!
Haiingii akilini kabisa, labda kwenye vichwa vya wajinga.
 
Kwani ndege za NATO ndiyo mara ya kwanza kutumika Ukraine?

Silaha karibia zote anazotumia Ukraine ni za NATO.

NATO hapo wanatumia media kulikuza hili ili mauwaji ya kikatili yanayofanyika Ghaza yasionekane.
Acha porojo, NATO bado haijashiriki vita vya Ukraine
 
Pro-Russia huwa ni wazushi sana na mahiri katika "begging the question", hakuna mahali Biden kasema hizo porojo.
Pia Korea Kaskazini ni taifa masikinia ambalo mtawala wake Kiduku kaamua kujikita kuzalisha mabomu na silaha nyingine.
 
Mbona hujamalizia story Yako nini kilitokea 2008, kwa nini Rais wa Ukraine alipinduliwa, na kwa nini kwa miaka 8 Ukraine umekuwa ikiwapiga maboom waukraine wenye asiki ya Urusi huko Donbas, na kwengineko. Ndio utaona kwa nini Urusi imeingia vitani
2008 Urusi aliivamia Georgia na hakukua na vita Ukraine
 
Tumeamuqaq patella mbali
 
Lakini nakumbuka vita wakati vinaanza Russia alisema wiki moja tuu anamaliza mgogoro sasa inakuwaj ni zaidi ya mwaka na point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…