Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hizi ndege hazitakua na jipya lolote nakuhakikishiaWalifanya makusudi kuinyima Ukraine hizi ndege mapema ili kuifanya vita iwe ya muda mrefu. Hizi ndege zingeenda mapema zingesaidia sana kuipa Ukraine position nzuri.
Hebu tuwekee hiyo taarifa officials kutoka Russia iliyosema atatumia wiki 1 na sisi tuione hapa.Lakini nakumbuka vita wakati vinaanza Russia alisema wiki moja tuu anamaliza mgogoro sasa inakuwaj ni zaidi ya mwaka na point
Russia kuanguka kiuchumi hili ulisahau kabisaaaNATO wanataka kujua uwezo wa mrusi na siraha zake kupitia hii Vita.
Wanapanga pia kumdhoofisha kiuchumi maana ametumia pesa nyingi sana kwa hii vita.
Uwezo wa kumaliza hii vita anao,kuna mawili aachie full mkoko au awapige mdogo mdogo ajiangushe kiuchumi.
Pesa zakuzalishia silaha anatoa wapi wakati maskini?Pro-Russia huwa ni wazushi sana na mahiri katika "begging the question", hakuna mahali Biden kasema hizo porojo.
Pia Korea Kaskazini ni taifa masikinia ambalo mtawala wake Kiduku kaamua kujikita kuzalisha mabomu na silaha nyingine.
Lengo la NATO ni kumpukuchua Putin taratibu mkuuHizi ndege zimekuja kwa kuchelewa.....
Ukraine ingepata msaada wa kutosha toka awali hali ingekuwa njema upande wake.
T14 Armata
Inampukuchua sawa.........ila wanaolipia hizo gharama ni Ukraine.Lengo la NATO ni kumpukuchua Putin taratibu mkuu
Hata mm ningekua zelensky ningedai hizo la sivyo ningesurrenderHivi F 16 zina maajabu gani mbele ya taifa kama Russia, si wawape F 22 na F 35?
Juzi mkuu wa NATO alisema hii vita ndio litaamua usalama wa nchi za magaharibi kwa miongo mingi ijayo, na kwamba they will not let Rusia win in UkraineWazungu sio wajinga kama waafrica Kuna hesabu zishasolviwa zamani majibu mtayapata muda sio mrefu.
Kwani Gaza kuna mauaji ya kikatili?Kwani ndege za NATO ndiyo mara ya kwanza kutumika Ukraine?
Silaha karibia zote anazotumia Ukraine ni za NATO.
NATO hapo wanatumia media kulikuza hili ili mauwaji ya kikatili yanayofanyika Ghaza yasionekane.
Ni kweli ila wenzetu wametuzidi jambo moja, ambalo ni kujiandaa na kujipanga katika nyakati za shida. Mfano, ukitazama reserve ya gold kwa bara la ulaya na marekani inaweza kuwapeleka pengine hata miaka 10 au 20 bila kuihitaji, sasa sisi reserve yetu ya mafuta unakuta ni 2month, hatuna source ya internet wakitaka wanazima hata kesho.Na wao bila dhahabu , almasi , Tanzanite, coal , gas , kahawa , mbao , samaki , nyama , n.k wata survive vipi? Tunaishi kwa kutegemeana mkuu
Kaka unategemea urusi atabaki sawa na hiyo Vita?non sence hivi mnajua maana ya uchumi au mnakariri?Russia kuanguka kiuchumi hili ulisahau kabisaaa
Russia ataanguka kiuchumi ikiwa India na Uchina wataungana na west nakuhakikishia Russia haitachukua hata mwezi
Ila kwa ushirikiano alonao na hayo mataifa mawili hata kama ulaya wote watamtenga Russia kuanguka kiuchumi musahau
Ok. Nani mnufaika wa hiyo vita? Hivi,unajua hasara unayopata wewe ni tofauti na wahusika?Kaka unategemea urusi atabaki sawa na hiyo Vita?non sence hivi mnajua maana ya uchumi au mnakariri?
Hapa tunaongea facts kaka,Mnufaika wa Hiyo Vita ni atakayeshinda sababu hawama bwana gimbania Crimea.Jimbo ambalo ni muhimu kwa ukrain na russia kiusalama na kiuchumi.Ok. Nani mnufaika wa hiyo vita? Hivi,unajua hasara unayopata wewe ni tofauti na wahusika?
Jambo moja. Kinachowahangaisha ni nini? Hamna mrusi wala muukraine
Ripoti ya world Bank mwaka huu imesema uchumi wa urusi umezidi kuimarika. Hawa world Bank ni tool ya wamarekani kiuchumi ndio wanaripoti
Hebu tuwekee hiyo screenshort.Alafu report ya mwaka huu huwezi kuta hivyo vitu.subiri report ya robo mwaka ya WB au IMF.Ripoti ya world Bank mwaka huu imesema uchumi wa urusi umezidi kuimarika. Hawa world Bank ni tool ya wamarekani kiuchumi ndio wanaripoti hivyo.
Nawewe unadhani hao wanaoenda kinyume watabakia sawa?Kaka unategemea urusi atabaki sawa na hiyo Vita?non sence hivi mnajua maana ya uchumi au mnakariri?
Weee jamaa unaangalia upande mkoja huwez pata muafaka kama makampuni yamefungwa koteHapa tunaongea facts kaka,Mnufaika wa Hiyo Vita ni atakayeshinda sababu hawama bwana gimbania Crimea.Jimbo ambalo ni muhimu kwa ukrain na russia kiusalama na kiuchumi.
Vita inatumia resouces bila kuingiza chochote mpaka utakapo shinda.Sasa mjinga mmoja anakuambia urusi hataathirika kiuchumi.Angalia rundo la mashirika yenye asili ya russia yalivyofungwa ulaya.
Angalia umiliki wa Club kubwa kama Chersea ulivyoyumba baada Ibramovich swahiba wa Putin na mrusi kuambiwa apishe.
Unataka ripoti ya robo mwaka upi kijana ikiwa huu mwezi wa saba sasa au umesahau?🤔Hebu tuwekee hiyo screenshort.Alafu report ya mwaka huu huwezi kuta hivyo vitu.subiri report ya robo mwaka ya WB au IMF.
Kusambaratika umesikia wapi.Ecomonicaly lazima ashuke,Marekani amepigana vita ya Iraq hakubaki kama alivyoanza.Uelewa mdogo nao ni tatizo.Nawewe unadhani hao wanaoenda kinyume watabakia sawa?
Hakuna sehemu nimesema kama Russia atakua sawa ila kusambaratika hili musahau tena musahau
Uliposema kushuka kiuchumi ulimaanisha niniKusambaratika umesikia wapi.Ecomonicaly lazima ashuke,Marekani amepigana vita ya Iraq hakubaki kama alivyoanza.Uelewa mdogo nao ni tatizo.
Mwalimu wako alipata tabu sana,Kwa heri.
Nilitoka kapa mkuuU
Ukagundua nini?