Tetesi: NATO na USA kufanya maamuzi magumu kuiokoa Dunia na WW3

🤣🤣🤣🤣 Hizi ndoto nyingine bhana! Haya kakojoe urudi kulala
Ndoto za mchana hizi. Kwa kinachoendeleq pale Urusi na Ukraine hakuna ambaye yuko tayaro itokee tena vita Israel na Iran maana mtikisiko utakuwa mkubwa sana
 
Watu wakishiba kande ndo wanahororojoka hivi. Haya weka chanzo cha taarifa zako or else categorize kwamba this is a mere opinion from your end
Atakwambia amepata "classified information"[emoji1787][emoji1787]

Kande banaa
 
[emoji1787]
 
Kawaulize warusi wanaompiga putini ndani ya nchi yake watakwambia jinsi isivyovumilika kiuchumi kwa warusi
Unajua kuliko Forbes? Utajiri wa Ma Oligarch wa kirusi umeongezeka, Vikwazo vimewaongezea utajiri badala ya kuwapunguzia.

 
What about German? The european economic super power!

BERLIN, May 25 (Reuters) - The German economy was in recession in early 2023 after household spending in Europe's economic engine finally succumbed to the pressure of high inflation.
Ulisema uchumi wa Urusi unaperform vizuri, sasa umehamia Germany. Be organized, siyo kurukaruka.

Kama kuna vita vinavyoshirikisha haya mataifa makubwa au mataifa ya Ghuba ambayo yanazalisha mafuta kwa wengi, kila Taifa linaguswa, negatively au positively.
 
Juzi tu imekua Reported Saudia ananunua Barel 174,000 kwa Siku Toka Urusi, na Saudi huyo huyo anauza Ulaya mafuta yake

Kinachoendelea Ulaya ni wananunua Mafuta yale yale ya Urusi ila kwa bei mara 2 ama mara 3 ya hela ya mwanzo.


Kuhusu Uchumi wa Urusi ndio umeshuka asilimia 2, ila ukumbuke Mamia ya Mabilioni usd Dollars ya Urusi yamechukuliwa na Kutaifishwa, yote hayo hayajaathiri Uchumi, Estimation mwaka huu unapanda kwa 0.7% na mwakani 1.7% hivyo sanction zote hizo zimedunda.

Pia ma Oligarch wengi wa Urusi utajiri wao unapaa mno,

There are 105 Russian billionaires on Forbes’ 2023 World's Billionaires List with a collective net worth of $474 billion, up from 83 worth a combined $320 billion in March 2022. (In contrast, America's 735 billionaires lost $200 billion between March 2022 and 2023, while China’s richest are down by $300 billion; net worths for the list were measured using stock prices and exchange rates from March 10, 2023.)

Mtu kama Abramovich walichukua mali zake utajiri ukashuka hadi 6.9B usd ila sasa hivi umeshapanda hadi 9B ndani ya mwaka tu.

So hizi Stori za kusema uchumi wa Urusi umeathirika ni za Kujifariji tu ila Huko Ulaya ndio hali tete.
 
Mkuu hii habari haina ukweli sababu baada ya hii habari Marekani wenyewe walikiri Patriot imepigwa, sasa kama Ukraine walifanikiwa Kutungua Hypersonic kwanini Patriot imepigwa? Kuna mpaka Video mtandaoni zinaonesha live Patriot inapiga tu bila mpangilio kisha kunaonekana mlipuko mkubwa kwenye patriot.
 
Waislamu wengi duniani wana uadui mkubwa na Iran zaidi ya chochote....chunguza....

Waislam wengi huwenda ni marafiki wa MAREKANI zaidi ya Iran....chunguza [emoji1787][emoji1787]
Saudi ndio ana Ugomvi na Iran ila Mataifa mengi ya Kiarabu ni Neutral ama marafiki na Iran.
 
Sawa....

Kwa hiyo masunni walio wengi duniani hawana hasama na hao Iran?!!!
Inategema na Nchi, kuna Nchi kama Bahrain wana Shia wengi ila haziendi na Iran, ila kuna Nchi za Sunni kama Qatar zinaenda na Iran.

Qatar, Kuwait, Jordan, Algeria, Libya, Lebanon, Oman, Syria, UAE na Yemen wanashirikiana na Iran.
 
Inategema na Nchi, kuna Nchi kama Bahrain wana Shia wengi ila haziendi na Iran, ila kuna Nchi za Sunni kama Qatar zinaenda na Iran.

Qatar, Kuwait, Jordan, Algeria, Libya, Lebanon, Oman, Syria, UAE na Yemen wanashirikiana na Iran.
Well ...

Hebu angalia fungu la nchi hizo nchi za mwisho ulizoweka hapo chini....je ndani yake hazina mashia wengi zaidi zaidi wa masuni ?!!![emoji1787]
 
Russia ikisnxa kutandikwa na mkiiona inashindwa vita mnakuja na porojo za kila namna safari kiburi cha mrudi lazima kielekkwe na Putin lazima afungashwe virago

Alivyoligema atalinywa

No retreat no surrender hiyo ndio slogan ya Ukraine
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…