Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787]Vitoto vingine bhana! [emoji1787][emoji1787]mrusi mnamchosha vipi kiuchumi?? Vikwazo mlivyoweka kwa mihemuko vimewaludia wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]Vitoto vingine bhana! [emoji1787][emoji1787]mrusi mnamchosha vipi kiuchumi?? Vikwazo mlivyoweka kwa mihemuko vimewaludia wenyewe
Ndoto za mchana hizi. Kwa kinachoendeleq pale Urusi na Ukraine hakuna ambaye yuko tayaro itokee tena vita Israel na Iran maana mtikisiko utakuwa mkubwa sana🤣🤣🤣🤣 Hizi ndoto nyingine bhana! Haya kakojoe urudi kulala
Atakwambia amepata "classified information"[emoji1787][emoji1787]Watu wakishiba kande ndo wanahororojoka hivi. Haya weka chanzo cha taarifa zako or else categorize kwamba this is a mere opinion from your end
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hivi Ukraine anaelekea Moscow, Putin amechanganyikiwaa
[emoji1787]Unapenda USA apambane na Russia lakini haiwezekani Marekani na NATO kupambana na Urusi. Ya kusikitisha ni kwamba mpaka sasa dunia haijajua ni nini kinaendelea pale Kapustin Yar massive underground military base. Inakadiriwa ina ukubwa wa maili 400 za mraba. Imejengwa kuweza kustahimili mlipuko wa kombora lolote lililopo sasa duniani na la vizazi vijavyo.
Inasemekana ndio mahali penye teknolojia za juu kabisa ulimwenguni na haya yanayojulikana na NATO juu ya Urusi ni asilimia 5 na asilimia 95 yamefichwa humo Kapustin Yar.
Puttin aliwahi kusema Taifa au nchi inayotaka kupigana na Russia ijitathmini zaidi ya moja mpango wake maana zitatukika silaha ambazo toka duniani iumbwe haziwahi kufikirika kuwepo duniani. Hio ni siri iliyopo pale KAPUSTIN YAR
[emoji1787]Vijiwe vya Kahawa Kingunguti....
Unajua kuliko Forbes? Utajiri wa Ma Oligarch wa kirusi umeongezeka, Vikwazo vimewaongezea utajiri badala ya kuwapunguzia.Kawaulize warusi wanaompiga putini ndani ya nchi yake watakwambia jinsi isivyovumilika kiuchumi kwa warusi
www.forbes.com
Ulisema uchumi wa Urusi unaperform vizuri, sasa umehamia Germany. Be organized, siyo kurukaruka.What about German? The european economic super power!
BERLIN, May 25 (Reuters) - The German economy was in recession in early 2023 after household spending in Europe's economic engine finally succumbed to the pressure of high inflation.
Post namba ngapi hiyo niliyoandika hayo?Ulisema uchumi wa Urusi unaperform vizuri, sasa umehamia Germany. Be organized, siyo kurukaruka.
Juzi tu imekua Reported Saudia ananunua Barel 174,000 kwa Siku Toka Urusi, na Saudi huyo huyo anauza Ulaya mafuta yakeUsijibu kwa mahaba, fuatilia takwimu za uchumi wa Urusi kwa sasa, tena kutoka vyombo vya habari vya Urusi.
Uchumi wa Urusi unaanguka japo siyo kwa speed waliyotegemea nchi za Magharibi.
Sarafu ya Urusi nayo inazidi kuanguka baada ya mwakajana kupanda kwa kiwango cha juu kuliko sarafu zote Duniani. Hiyo ilitokana na Urusi kuyalazimisha mataifa yote yaliyokuwa yananunua mafuta na gas ya Russia, lazima yafanye malipo kwa sarafu ya Urusi.
Sasa kilichotokea ni mataifa ya Magharibi kuacha kununua mafuta na gas ya Urusi. Mauzo ya mafuta ya Urusi yameanguka kwa 41%, na hivyo hata mahitaji ya sarafu ya Urusi hayapo tena.
Mnunuzi mkuu wa mafuta ya Urusi, India, naye amewekewa masharti ma nchi za Magjaribi. Hataruhusiwa kuuza products zozote za mafuta kwa nchi za Magharibi kwa sababu zitakuwa zimetokana na mafuta ya Russia. India nayo sasa ipo njiapanda kwa sababu soko kubwa la products za mafuta ni Ulaya Magharibi.
Mkuu hii habari haina ukweli sababu baada ya hii habari Marekani wenyewe walikiri Patriot imepigwa, sasa kama Ukraine walifanikiwa Kutungua Hypersonic kwanini Patriot imepigwa? Kuna mpaka Video mtandaoni zinaonesha live Patriot inapiga tu bila mpangilio kisha kunaonekana mlipuko mkubwa kwenye patriot.Mtengenezaji wa silaha, anapotengeneza silaha anajitahidi iwe bora zaidi kuliko nyingine zote. Lakini uhalisia haupo hivyo, kwa sababu na wenzako wanafikiria namna ya kupambana na hiyo silaha.
Wakati wa vita ya NATO dhini ya Slobodan Milosevic wa Yugoslavia, NATO walitumia ndege zilizonunuliwa US za latest version zilizoitwa Invisible. Ziliitwa invisible kwa sababu mtengenezaji ambaye ni US alisema haiwezi kuonekana kwenye mitambo yoyote ya radar, lakini jeshi la Yugoslavia lilifanikiwa kuidungua moja.
Urusi wanasema kuwa makombora yao ya hyppersonic hayawezi kudunguliwa na mitambo yoyote ya ulinzi wa anga, tayari Ukraine wameweza kulidungua moja katika 6 yaliyorushwa na Urusi.
Na hiyo hypersonic haielezei ubora bali speed pekee. Kombora linaloongoza kwa hatari ni LGM-30 Minuteman III. Hilo linaongoza kwa destruction na precision.
Na anti-hypersonic system inayoongoza kwa ubora wa kutungua makombora ya hypersonic ni The Arrow 3 or Hetz 3, ya Israel.
Ukraine downs Russian hypersonic missile with US Patriot system
LIVE
Open the menu

News|Russia-Ukraine war
Ukraine downs Russian hypersonic missile with US Patriot system
Air-launched ballistic missile that can reach speeds of up to Mach 10 is capable of carrying nuclear or conventional warheads.
Video Duration 01 minutes 02 seconds01:02
Published On 6 May 20236 May 2023
Ukraine downed a Russian hypersonic missile over the capital Kyiv using a newly acquired US Patriot defence system in what would be a first in its ability to intercept one of Moscow’s most modern weapons.
The Kinzhal missile is one of the latest and most advanced Russian weapons. Its military says the air-launched ballistic missile has a range of up to 2,000km (1,250 miles) and flies at 10 times the speed of sound, making it hard to intercept.
A combination of hypersonic speed and a heavy warhead allows the Kinzhal to destroy heavily fortified targets, such as underground bunkers or mountain tunnels.
[emoji1787]Habari yako imekaa kama Ile ya wale jamaa wanasema Israel ni taifa teule. Nilichokiona hapa ulitaka kusema Kwa nini Urusi anashirikiana na Irani ambaye ni adui wa taifa lako teule
Saudi ndio ana Ugomvi na Iran ila Mataifa mengi ya Kiarabu ni Neutral ama marafiki na Iran.Waislamu wengi duniani wana uadui mkubwa na Iran zaidi ya chochote....chunguza....
Waislam wengi huwenda ni marafiki wa MAREKANI zaidi ya Iran....chunguza [emoji1787][emoji1787]
Sawa....Saudi ndio ana Ugomvi na Iran ila Mataifa mengi ya Kiarabu ni Neutral ama marafiki na Iran.
Inategema na Nchi, kuna Nchi kama Bahrain wana Shia wengi ila haziendi na Iran, ila kuna Nchi za Sunni kama Qatar zinaenda na Iran.Sawa....
Kwa hiyo masunni walio wengi duniani hawana hasama na hao Iran?!!!
Well ...Inategema na Nchi, kuna Nchi kama Bahrain wana Shia wengi ila haziendi na Iran, ila kuna Nchi za Sunni kama Qatar zinaenda na Iran.
Qatar, Kuwait, Jordan, Algeria, Libya, Lebanon, Oman, Syria, UAE na Yemen wanashirikiana na Iran.
Anaota ndoto ya mchana hajui kuhusu double agent hajui ikitokea fursa hivyo Putin atapeleka vijana wangapi🤣🤣🤣🤣 Hizi ndoto nyingine bhana! Haya kakojoe urudi kulala
.Russia ikisnxa kutandikwa na mkiiona inashindwa vita mnakuja na porojo za kila namna safari kiburi cha mrudi lazima kielekkwe na Putin lazima afungashwe virago
Alivyoligema atalinywa
No retreat no surrender hiyo ndio slogan ya Ukraine
[emoji3][emoji3]Mrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!