100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Ukranians na Russian ni kitu kimoja, wanatoka kwenye same roots, Kiev huu mji mkuu wa Ukraine zamani ulikuwa ndio makao makuu ya Russia kabla ya Moscow, CIA wamekuwa wakisambaza propaganda na chuki kwa Ukranians waichukie Russia, CIA wametumia billions of dollar kuhakikisha hawa ndugu wa damu hawapatani kabisa.
USA amekuwa aki enjoy sana kuona nchi zikitengana kwa muda sasa kwa ajili ya maslahi yake binafsi, Putin anajua nini anafanya, ulaya pale Russia anaogopwa kwa umuhimu wa gas yake.
Ukraine inaweza kumegwa tena kisela na ulaya wakaweka mkia kati kati ya miguu, pale ulaya nani ana uchumi mkubwa? ni Germany sasa Germany ni koloni la Russia kwa miaka 49 na pia mabomba ya gas(nord stream) ya Russia yanaingia Germany ndio yanasambaza gas kwingine nchi za ulaya na sasa wanajenga bomba la pili licha ya USA kupiga kelele.
Germany ana maslahi mapana na Russia, kama mkali wao aliyeshikilia euro anamuogopa Russia, waliobaki wana nini cha kufanya?
France yenyewe ilipigwa na Germany mpaka wakafuatwa Paris WW2, UK ilichapwa vibaya sana mpaka Uncle Sam akamkomboa lakini Russia aliichakaza Germany toka mashariki akawa wa kwanza kuingia Berlin.
Ukraine itamegwa tu kama Palestine inavyomegwa kionevu na Israel halafu USA haongei, lakini Ukraine ikimegwa anaongea, sasa dawa ni kumegeana kibabe tu.