NATO wanatishia, Urusi hatishii atavamia kweli na inaweza kutokea Vita kweli

Uko wapi ndugu yangu.
Mbona huonekani siku hizi.
Urusi kashaingia na hao NATO wanachangishana vijisilaha na vikwazo dhidi ya Urusi.
"NATO mpenzi wangu mpenzi wangu mbona hutokei"
Ivi ile operation sasa inaingia mwezi wa ngapi vile Russia hajapata hitajio lake??? Ivi Russia pale Kyiv alipatwa na nini vile mpaka kutimua zake mbio na kurudi Donbas? Je unayo habari Khakiv? Urusi wamefurushwa mpaka mpakani baina ya Ukraine na Russia ni kilio tu kwa putin wa mchongo

Usiniulize habari ya Finland na Sweden kwamba jumatano rasmi wana handover makaratasi ya maombi ya kujiunga na NATO, Putini aliwaonya hawa wajamaa lakini mbona wanaendelea kupeleka maombi? Putini jamani naliaa nalia jama mara hii West wananidhalilisha kiasi hichi
 
Sawa lakini kumbuka NATO ni umoja wa nchi zaidi ya tano Tena zenye nguvu kijeshi na kiuchumi sidhan Kama Russia anauwezo peke ake kupambana na NATO yte watamtia vidole
Aisee,
Hali halisi ni tofauti Sasa hivi.
Vikwazo vimebuma huko.
Waliweza kupeleka majeshi kamili Yugoslavia lkn wameshindwa kupeleka majeshi kamili Ukraine.
Namaanisha NATO.
 
Hoja ya maana sana hii.
Na hapa ndio chimbuko la mgogoro wa Ukraine.
 

Aisee nakumbuka kauli hii.
Hivi bado package za silaha na fedha zinaendellea kuingia Ukraine kutoka NATO au zimeisha.je zikipelekwa zinayeyuka Hadi zipelekwe zingine?

Unajua kua ukiongeza kupakua chakula maana yake hujatosheka?

Je wakiongeza misaada ya silaha kwa Ukraine maana yake zile zilizopelekwa awali hazijagua dafu?
 
Ugonile
 
Aisee,
Hali halisi ni tofauti Sasa hivi.
Vikwazo vimebuma huko.
Waliweza kupeleka majeshi kamili Yugoslavia lkn wameshindwa kupeleka majeshi kamili Ukraine.
Namaanisha NATO.
Kwani wametaka mpaka useme wameshindwa?
 
Aisee,
Hali halisi ni tofauti Sasa hivi.
Vikwazo vimebuma huko.
Waliweza kupeleka majeshi kamili Yugoslavia lkn wameshindwa kupeleka majeshi kamili Ukraine.
Namaanisha NATO.
Yugoslavia alikuwa mshirika kamili wa umoja wa ulaya ila Urusi sio hivyo
 
Hili suala niliongea 2021 kabla ya hii vita na ndicho kinachotokea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…