NATO wanatishia, Urusi hatishii atavamia kweli na inaweza kutokea Vita kweli

NATO wanatishia, Urusi hatishii atavamia kweli na inaweza kutokea Vita kweli

Uko wapi ndugu yangu.
Mbona huonekani siku hizi.
Urusi kashaingia na hao NATO wanachangishana vijisilaha na vikwazo dhidi ya Urusi.
"NATO mpenzi wangu mpenzi wangu mbona hutokei"
Ivi ile operation sasa inaingia mwezi wa ngapi vile Russia hajapata hitajio lake??? Ivi Russia pale Kyiv alipatwa na nini vile mpaka kutimua zake mbio na kurudi Donbas? Je unayo habari Khakiv? Urusi wamefurushwa mpaka mpakani baina ya Ukraine na Russia ni kilio tu kwa putin wa mchongo

Usiniulize habari ya Finland na Sweden kwamba jumatano rasmi wana handover makaratasi ya maombi ya kujiunga na NATO, Putini aliwaonya hawa wajamaa lakini mbona wanaendelea kupeleka maombi? Putini jamani naliaa nalia jama mara hii West wananidhalilisha kiasi hichi
 
Sawa lakini kumbuka NATO ni umoja wa nchi zaidi ya tano Tena zenye nguvu kijeshi na kiuchumi sidhan Kama Russia anauwezo peke ake kupambana na NATO yte watamtia vidole
Aisee,
Hali halisi ni tofauti Sasa hivi.
Vikwazo vimebuma huko.
Waliweza kupeleka majeshi kamili Yugoslavia lkn wameshindwa kupeleka majeshi kamili Ukraine.
Namaanisha NATO.
 
Hivi unajua China na Russia wana rasilimali kiasi gani!? Kwa taarifa rare earth materials zaidi ya 80% yanapatikana China (usiniulize hayo materials yana umuhimu gani). Russia anatandika bomba la kusafirisha gesi kwenda ulaya, kutwa US anazusha visa juu ya hili (tafuta majibu kwa nini US anazusha visa hivi)
Hoja ya maana sana hii.
Na hapa ndio chimbuko la mgogoro wa Ukraine.
 
Urusi amepewa majibu mawili tu achague moja kati ya amani au Vita
Sasa kama NATO wanatishia mpigie simu Putin mwambie asogeze mbele jeshi lake waingie ndani kidogo ya eneo la Ukraine.,

Silaha ishayoingizwa Ukrain juzi wamefanikiwa kuingiza kwa mara ya pili tani 80 lakini pia wakatuma thamani ya dola $200 milioni imetua Kiev lakini kila leo mizigo mipya inatumwa halafu useme wanatania? Let them try

Mi nadhan Urusi wanataka mazungumzo tu si chengine maana yule waziri wao wa mambo ya nje Kremlin amesema wao hawana mpango kuingia Ukraine zaidi wanalinda mpaka wao kwa sababu NATO nao wanazidi kumiminika mpakani mwa Ukraine.,

Aisee nakumbuka kauli hii.
Hivi bado package za silaha na fedha zinaendellea kuingia Ukraine kutoka NATO au zimeisha.je zikipelekwa zinayeyuka Hadi zipelekwe zingine?

Unajua kua ukiongeza kupakua chakula maana yake hujatosheka?

Je wakiongeza misaada ya silaha kwa Ukraine maana yake zile zilizopelekwa awali hazijagua dafu?
 
Urusi amepewa majibu mawili tu achague moja kati ya amani au Vita
Sasa kama NATO wanatishia mpigie simu Putin mwambie asogeze mbele jeshi lake waingie ndani kidogo ya eneo la Ukraine.,

Silaha ishayoingizwa Ukrain juzi wamefanikiwa kuingiza kwa mara ya pili tani 80 lakini pia wakatuma thamani ya dola $200 milioni imetua Kiev lakini kila leo mizigo mipya inatumwa halafu useme wanatania? Let them try

Mi nadhan Urusi wanataka mazungumzo tu si chengine maana yule waziri wao wa mambo ya nje Kremlin amesema wao hawana mpango kuingia Ukraine zaidi wanalinda mpaka wao kwa sababu NATO nao wanazidi kumiminika mpakani mwa Ukraine.,
Ugonile
 
Aisee,
Hali halisi ni tofauti Sasa hivi.
Vikwazo vimebuma huko.
Waliweza kupeleka majeshi kamili Yugoslavia lkn wameshindwa kupeleka majeshi kamili Ukraine.
Namaanisha NATO.
Kwani wametaka mpaka useme wameshindwa?
 
Aisee,
Hali halisi ni tofauti Sasa hivi.
Vikwazo vimebuma huko.
Waliweza kupeleka majeshi kamili Yugoslavia lkn wameshindwa kupeleka majeshi kamili Ukraine.
Namaanisha NATO.
Yugoslavia alikuwa mshirika kamili wa umoja wa ulaya ila Urusi sio hivyo
 
Ukranians na Russian ni kitu kimoja, wanatoka kwenye same roots, Kiev huu mji mkuu wa Ukraine zamani ulikuwa ndio makao makuu ya Russia kabla ya Moscow, CIA wamekuwa wakisambaza propaganda na chuki kwa Ukranians waichukie Russia, CIA wametumia billions of dollar kuhakikisha hawa ndugu wa damu hawapatani kabisa.

USA amekuwa aki enjoy sana kuona nchi zikitengana kwa muda sasa kwa ajili ya maslahi yake binafsi, Putin anajua nini anafanya, ulaya pale Russia anaogopwa kwa umuhimu wa gas yake.

Ukraine inaweza kumegwa tena kisela na ulaya wakaweka mkia kati kati ya miguu, pale ulaya nani ana uchumi mkubwa? ni Germany sasa Germany ni koloni la Russia kwa miaka 49 na pia mabomba ya gas(nord stream) ya Russia yanaingia Germany ndio yanasambaza gas kwingine nchi za ulaya na sasa wanajenga bomba la pili licha ya USA kupiga kelele.

Germany ana maslahi mapana na Russia, kama mkali wao aliyeshikilia euro anamuogopa Russia, waliobaki wana nini cha kufanya?
France yenyewe ilipigwa na Germany mpaka wakafuatwa Paris WW2, UK ilichapwa vibaya sana mpaka Uncle Sam akamkomboa lakini Russia aliichakaza Germany toka mashariki akawa wa kwanza kuingia Berlin.

Ukraine itamegwa tu kama Palestine inavyomegwa kionevu na Israel halafu USA haongei, lakini Ukraine ikimegwa anaongea, sasa dawa ni kumegeana kibabe tu.
Hili suala niliongea 2021 kabla ya hii vita na ndicho kinachotokea...
 
Back
Top Bottom