Ivi ile operation sasa inaingia mwezi wa ngapi vile Russia hajapata hitajio lake??? Ivi Russia pale Kyiv alipatwa na nini vile mpaka kutimua zake mbio na kurudi Donbas? Je unayo habari Khakiv? Urusi wamefurushwa mpaka mpakani baina ya Ukraine na Russia ni kilio tu kwa putin wa mchongoUko wapi ndugu yangu.
Mbona huonekani siku hizi.
Urusi kashaingia na hao NATO wanachangishana vijisilaha na vikwazo dhidi ya Urusi.
"NATO mpenzi wangu mpenzi wangu mbona hutokei"
Usiniulize habari ya Finland na Sweden kwamba jumatano rasmi wana handover makaratasi ya maombi ya kujiunga na NATO, Putini aliwaonya hawa wajamaa lakini mbona wanaendelea kupeleka maombi? Putini jamani naliaa nalia jama mara hii West wananidhalilisha kiasi hichi