Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 614
- 961
- Thread starter
-
- #481
Halafu pia,kuna mawasiliano hapo kwenye bandiko,ungekua umewasiliana namimi nikiwa palepale,mambo mengi ungeuliza na kupewa ufafanuzi,kuliko hii ya mimi nawewe kuchati hapa,ndivyo wenzako wengi wanavyofanya.Kwa 0765920855 utanipata WhatsApp na kwenye calls za kawaida.Nilifikiri hii ndio huduma unayoitoa wewe kwa walio mbali, kumbe na wewe unaniambia nitume mtu.
Nimekutajia experience ya huyo mtu ili ujue ofisi yenye changamoto ili kama ni hiyo hiyo ndiyo ofisi iliyokuhakikishia matumizi ya power, nikupe hiyo kazi.
Asante sana na karibu.Bonge la ubunifu
Kila la kheri mkuu.
Hongera ndio naona bandiko lako watu wengi huwa wanasumbuka, lkn vipi kama ukiamua kuwa verified jamiiforums? Naona itakuwa vizuri zaidi.Hata wewe ambaye umepata changamoto kwenye akaunti yako ya AJIRA PORTAL, mfano umesahau email yako,una NGO unatakiwa kuchukuliwa cheti wizara ya maendeleo ya jamii na mengineyo, waweza kufanya mawasiliano pia kama wenzako wenye shida zinazoendana na zilizoorodheshwa hapa,unakaribishwa pia.
Asante,niliwatumia taarifa wazitakazo MODERATORS,muda mrefu sana,lakini hadi sasa hawakuniverifai,badala yake waliweza kumodifai tu TITLE.Hongera ndio naona bandiko lako watu wengi huwa wanasumbuka, lkn vipi kama ukiamua kuwa verified jamiiforums? Naona itakuwa vizuri zaidi.
OK, ALAFU KUFANYA UZI UWE ACTIVE INABIDI KUUTEMBELEA MARA KWA MARA NA KU COMMENT.Asante,niliwatumia taarifa wazitakazo MODERATORS,muda mrefu sana,lakini hadi sasa hawakuniverifai,badala yake waliweza kumodifai tu TITLE.
Ntawakumbusha tena kwa mara nyingine.
SIMUZENYEWE HUPOKEIAsante,niliwatumia taarifa wazitakazo MODERATORS,muda mrefu sana,lakini hadi sasa hawakuniverifai,badala yake waliweza kumodifai tu TITLE.
Ntawakumbusha tena kwa mara nyingine.
Hapana,napokea yawezekana ulipiga muda naendesha,nikimaanisha nilikua barabarani.SIMUZENYEWE HUPOKEI
Hakika.OK, ALAFU KUFANYA UZI UWE ACTIVE INABIDI KUUTEMBELEA MARA KWA MARA NA KU COMMENT.
Asante sana.Karibu tena,ndugu yangu.Kazi nzuri mkuu mm ni mmoja wapo niliyefaidika na huduma Yako.
Tuwasiliane 0765920855Nahitaji Lodge ya 20k hapo mjini dodoma
ππ
Mkuu Upo Whatsapp, Naomba Nikucheck WhTsapp kuna Shida Ya Kijana WanguHata wewe ambaye una changamoto kwenye akaunti ya ajira portal, huna ulazima wa kuja Dodoma, waweza kufanya mawasiliano ili utoe maagizo yafikishwe ofisi husika na utatuliwe jambo lako.Itakusaidia kuokoa gharama zinazoepukika.
Mawasiliano ni 0765920855.
NB:OFISI ZAO HAZIPO TENA UDOM,ZIPO KARIBU NA MAHAKAMA KUU KWASASA.