Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
-
- #121
Nyumba nzuri,wengi wao wanafanya laki na nusu nakuendelea,inategemeana na specifications za nyumba husika.Maeneo mengi ya karibu na Jiji hasa Kikuyu, Maili Mbili, Nkuhungu, Makole bei gani?
Hawa jamaa walianza kama mshikaji leo wako mbali sana wanaunganisha wauzaji na wanunuzi hadiLeo nilitoa hapa ushauri Kwa wanaishi dar es salaam.
Fungua ofisi masokoni, anzisha delivery system watu weng wa DSM wanakwenda tu sokoni bila kupenda..
Akipatika a muaminifu kama kampuni. Nyanya, kitunguu, hoho nk watu wangetulia kukusubiria wewe.
Obvious sokoni bidhaa bei chee unauwezo wa kuweka bei pendwa, Kwa kuzingatia ubora na usafi(hygiene) wa bidhaa ulizo point nk.
Usafi ni muhim Sana Tena ukafanya packing nzuri utauza Sana
Asante,lakini hadi sasa,hawa BRELA(Business Registration and Licencing Agency washasajili,kama 'DODOMA MESSENGERS',imelipiwa.Hawa jamaa walianza kama mshikaji leo wako mbali sana wanaunganisha wauzaji na wanunuzi hadi
Japan
South Africa
Dubai
Ushauri wangu kwa jamaa yangu, kufanya biashara au kutoa huduma bila kujisajili nikosa kwasheria zetu.
Sheria za nchi yetu zinakataza kwasabu nyingi ikiwepo usalama wake,usalama wa pesa za watu nk.
Bora akasajili huduma yako kwenye mamlaka au unaweza tumia platform kama hizi ambazo zimesajiwa kisheria na kulipa kodi hawa wanalipa kodi badala yako wewe unawalipa wao kwasabu ya mitaji yetu midogo badae mtaji ukikua unasajili huduma zako.
Nunua uliza bidhaa kutoka South Africa niko Hapa nitakupa be...
Je Kuna bidhaa unataka kununua toka Sauth Africa kwa sababu yoyote nfano bei kubwa Tanzania umetafuta na umekosa kuipata?Je kuna huduma unatoa unafu...digxam.co
Ok sawa ni hatua,mzuri inatakiwa uende TRA na watu License umalizane nao hongera sanaAsante,lakini hadi sasa,hawa BRELA(Business Registration and Licencing Agency washasajili,kama 'DODOMA MESSENGERS',imelipiwa.
Asante sana,nitazidi kuzingatia.Ok sawa ni hatua,mzuri inatakiwa uende TRA na watu License umalizane nao hongera sana
Asante sana,nimelipokea.Ushauri..
Ukiwa na stationary anza kutunza kumbukumbu za wateja wako kwenye kompyuta kila mteja na faili lake najua Watanzania wengi kutunza vitu vyao ni 0 utakuwa umewaokoa wengi sana