Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
-
- #141
Kunifatia kitambulisho changu cha Taifa pale Nida gharama zikoje bossMdau ambaye una jambo la kufuatilia,liwe la kiofisi au siyo la kiofisi,na halikulazimu wewe kuwepo Dodoma au upo Dodoma ila umebanwa na kazi nyingi,wasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855,usaidiwe kulifuatilia na kulitatua ukiwa hukohuko uliko,kwa gharama nafuu.
Kwa wale wanaorenew leseni zao au kuhitaji vyeti pale Medical Council of Tanganyika,scan barua na kitambulisho chako,tuma kwenye 0765920855,shughuli itakua imerahisishwa.
Ulishafanya taratibu zote na una uhakika kitakuwepo pale?Kunifatia kitambulisho changu cha Taifa pale Nida gharama zikoje boss
SafiKwasasa Dodoma messengers iko registered,kuhakiki unaweza ukaingia kwenye Online Registration System(ors.brela.go.tz).
Asanteni.
Ndugu@Mbaga Jr.tuna TIN namba,tunalipa TRA pia... you are most welcome.Safi
Nlshawahi kufanya kazi na ww hvy nakuaminiNdugu@Mbaga Jr.tuna TIN namba,tunalipa TRA pia... you are most welcome.
Nakukumbuka sana ndugu yangu,wewe ni mmoja wa wadau wa kwanza kabisa,kufanya nami kazi.Asante sana kwa sapoti uliyotoa.Nlshawahi kufanya kazi na ww hvy nakuamini
Asante sana Dr.Jambo zuri , huduma zako ni bora Sana hivyo WATU waendelee kukupatia kazi.
Daah[emoji28]nchi ngumu sana hiiInterview unapiga? Ya Chemical Processing Engineering
Hiyo inakulazimu mwenyewe kuwepo...... daaah!Interview unapiga? Ya Chemical Processing Engineering