Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Mimi na madai yangu ya nipo wizara ya maji nahitaji kumuona DG wa RUWASA
 
Mimi na madai yangu ya nipo wizara ya maji nahitaji kumuona DG wa RUWADA
 
Mimi na madai yangu ya nipo wizara ya maji nahitaji kumuona DG wa RUWASA
Mkuu,kama unataka kumuona,inamaana ni jambo linalokulazimu wewe mwenyewe kuwepo eneo husika,hivyo unashauriwa uwasiliane na wizara husika kwa namba zao,uombe appointment,bilashaka watakusaidia.
 
Unaweza kuepuka gharama mbalimbali kama za malazi,usafiri,muda n.k Kwa kufanya maamuzi sahihi ya kufanya mawasiliano na Dodoma messengers kwa 0765920855,endapo una jambo lisilokulazimu wewe kufika Dodoma na kulitatua tatizo husika.Utahudumiwa kwa gharama nafuu na kwa wakati.
 
Wikendi hii tujitahidi kufanya mawasiliano Ili ewe mhitaji wa huduma kama leseni za madaktari pale Baraza la Madaktari Tanganyika(Kambarage Tower),vyumba na nyumba za kuishi,wine n.k uwekwe kwenye orodha ya wateja watakaohudumiwa kuanzia jumatatu.Karibu uhudumiwe.
 
naomba ukanifanyie interview utumishi bei gani
Mkuu,tunachofanya ni kukusaidia Kwa kile ambacho hakikulazimu wewe kuwepo eneo la tukio,mfano;upo Dar au Zanzibar,unahamia Dodoma,ilikua unahitaji utafutiwe chumba au nyumba ya kuishi ukifika Dodoma,sisi tunakuuliza specifications za nyumba au chumba ukitakacho then unatafutiwa bila ya wewe kuwepo,mfano mwingine ni kama umenunua kitu Dodoma,huna mtu wa kwenda kuhakiki kitu husika,wewe unafanya mawasiliano unapewa taarifa sahihi ya hicho kitu,kinakaguliwa na wewe kupewa mrejesho,kuliko kuingia gharama za wewe kufika huko uliko na kufika sehemu kilipo hicho ukitakacho,mbali na mifano niliyokutolea kutokana na uzoefu uliopatikana katika utoaji wa huduma,pia kuna wale wanaohitaji zabibu hasa msimu wa zabibu,hivyo husafirishiwa,na kuipata ikiwa well packed,wanachofanya wao ni kulipa gharama za usafiri na huduma,badala ya wao kusafiri na kuifuata moja Kwa moja mashambani.Karibu uhudumiwe.Kwa suala la usahili,bilashaka unahitajika mwenyewe,sidhani kama unatakiwa umuagize mtu.
 
Brilliant idea. Kuwa muaminifu tu
 
Endelea kuwasiliana na Dodoma messengers,uwekwe kwenye orodha ya watakaohudumiwa kuanzia mwanzo wa wiki inayoanza kesho.
 
Tuwasiliane kwa wakati hasa Kwa wale wanaohitaji kuchukuliwa leseni pale MCT,kwani foleni Kwa leo jumatatu ilikua kubwa sana.Namba ni ileile ambayo ni +255765920855 kwa kupiga kawaida au Kwa whatsapp.Muhimu andaa barua yako na picha ya kitambulisho,leta kazi.
 
Huna haja ya kusafiri all the way kutoka Kigoma,Tabora,Mwanza na sehemu nyingine Tanzania,hasa kwa kazi isiyokulazimu wewe kuwepo Dodoma Ili kuikamilisha,unachotakiwa kukifanya,ni kuwasiliana na Dodoma messengers ili uhudumiwe kwa gharama nafuu.Kupitia Dodoma messengers,utaokoa gharama za malazi,chakula,usafiri n.k.
Namba ni zilezile,yaani +255765920855,ukitutuma,tunakukamilishia na tunakufikishia mrejesho.
 
Endelea kufanya mawasiliano,uwekwe kwenye orodha ya wale wanaoendelea kuhudumiwa huku wakiwa huko waliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…