Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

Rangooo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2022
Posts
308
Reaction score
511
Habari wanajamii,

Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali.
Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji ya kazi husika.

Huduma Ninazotoa:​

(A) Kodi (Tax Compliance)​

  • PAYE & SDL returns
  • VAT returns
  • Withholding Tax
  • Return of Income (ROI)

(B) Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na Mchango wa Kisheria​

  • WCF
  • NSSF
  • NHIF
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB)

(C) Uhasibu na Usimamizi wa fedha​

  • Kuandaa taarifa za kifedha (Financial Reports)
  • Usimamizi wa Accounts Payables & Receivables
  • Payroll Management
  • Kuandaa Bajeti za mapato na matumizi
  • Usimamizi wa gharama za bima (Insurance Cost Handling)
  • Fund Management (Loan financing processes)

(D) Uendeshaji na Ukaguzi​

  • Fixed Asset Register Management (FAR)
  • Inventory Management
  • Foreign Exchanges dealing
  • Ukaguzi wa ndani (Internal Audits) na Ukaguzi wa nje (External Audits)
  • Kuandaa Internal control processes au miongozo (SOP) ili kurahisisha internal company operations

Kwa Nini Ufanye Kazi Nami?​

  • Uzoefu wa miaka 4+
  • Ufanisi wa hali ya juu na umakini
  • Uwezo wa kufanya kazi kwa mbali (remote)
  • Flexible – nafanya kazi kwa maelewano
  • Naweza kuwasilisha referee's au ushahidi wa kazi endapo itahitajika
LinkedIn profile: https://www.linkedin.com/in/adam-ra...re_via&utm_content=profile&utm_medium=ios_app

Mawasiliano​

Mahali: Dar es Salaam
Simu / WhatsApp: 0787185478
Email: [email protected]

Let's grow your business the right way – financially stable and fully compliant.
 
Back
Top Bottom