Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance
Habari wanajamii,
Naitwa
Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya
Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya
miaka 4 katika sekta mbalimbali.
Kwa sasa,
nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji ya kazi husika.
Huduma Ninazotoa:
(A) Kodi (Tax Compliance)
- PAYE & SDL returns
- VAT returns
- Withholding Tax
- Return of Income (ROI)
(B) Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na Mchango wa Kisheria
- WCF
- NSSF
- NHIF
- Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB)
(C) Uhasibu na Usimamizi wa fedha
- Kuandaa taarifa za kifedha (Financial Reports)
- Usimamizi wa Accounts Payables & Receivables
- Payroll Management
- Kuandaa Bajeti za mapato na matumizi
- Usimamizi wa gharama za bima (Insurance Cost Handling)
- Fund Management (Loan financing processes)
(D) Uendeshaji na Ukaguzi
- Fixed Asset Register Management (FAR)
- Inventory Management
- Foreign Exchanges dealing
- Ukaguzi wa ndani (Internal Audits) na Ukaguzi wa nje (External Audits)
- Kuandaa Internal control processes au miongozo (SOP) ili kurahisisha internal company operations
Kwa Nini Ufanye Kazi Nami?
- Uzoefu wa miaka 4+
- Ufanisi wa hali ya juu na umakini
- Uwezo wa kufanya kazi kwa mbali (remote)
- Flexible – nafanya kazi kwa maelewano
- Naweza kuwasilisha referee's au ushahidi wa kazi endapo itahitajika
LinkedIn profile:
https://www.linkedin.com/in/adam-ra...re_via&utm_content=profile&utm_medium=ios_app
Mawasiliano
Mahali: Dar es Salaam
Simu / WhatsApp: 0787185478
Email:
adamramadhani554@gmail.com
Let's grow your business the right way – financially stable and fully compliant.