Natoa mwaliko wa Maulid kwa masikini wote

Natoa mwaliko wa Maulid kwa masikini wote

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Habari za mda huu siku ya Leo nimetoa mualiko wa maulidi Kwa masikini wote nimechinja ng'ombe 25 Kwa ajili ya masikini hakikisheni mnafika maana mnanjaa sana na Kwa wale wanawake ambao mnahitaji mitaji Leo mkifika nitawapa mitaji sababu hao wanaume zenu ni masikini wameshindwa kuwahudumia Mimi ndio nitakua mme wenu wa dharura karibuni masikini wote Leo
 
Habari za mda huu siku ya Leo nimetoa wa maulidi Kwa masikini yeyote nimechinja ng'ombe 25 Kwa ajili ya masikini hakikiesheni mnafika maana mnanjaa sana na Kwa wale wanawake ambao mnahitaji mitaji Leo mkifika nitawapa mitaji sababu hao wanaume zenu ni masikini wameshindwa kuwahudumia Mimi ndio nitakua mme wenu wa dharura jaribuni masikini Leo
Nenda kawaibie nyota zao mafala hao
 
Back
Top Bottom