Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bahati mbaya nimejikuta naangalia ufunguzi wa kampeni yao, ninaona aibu, nyuso zao zimekaa simanzi japo wanamsifu na kuabudu yule jamaaCCM tangu enzi ya mwalimu nyerere lazima mnamsifu aliyeko madaraka,akitoka tu mnakimbilia kwa anaye kuja Tena ili kutafuta madaraka. Hamjali maisha ya watanzania na hamtaki mtawaliwe ili muda ndio huu
Hata Chadema wenyewe wameliona ila wanajitoa ufahamuHili suala hata mimi nimeliona
Ndiyo tatizo la cdm, mkipewa busara kama hizi, mnaanza kuwapopomea watu.Eti natoa onyo, wewe nani? Au kwakuwa wewe ni shemeji yake Slaa basi unaona umefika mwisho wa reli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe Magufuli bana, kwann uipoteze kura yakoWell Said. Tukio la risasi alichukua almost robo tatu ya muda. Tunataka atuambie kwa nini tumpe kura. Binafsi nilisema nampa kura yangu ila jana kaniangusha kabisa. Kura yangu bora nimpe Babu Rungwe.
Magufuli hana lolote sitaki kujutia baadae akifanya ujinga wake. Hapa anasema akishinda kazi yake ya kwanza itakuwa kujenga uwanja mkubwa Dodoma. Wanadodoma wanahitaji Uwanja mkubwa au maji kila kaya ?Mpe Magufuli bana, kwann uipoteze kura yako