Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Awape ushauri mazuzu wenzake kama weweNdiyo tatizo la cdm, mkipewa busara kama hizi, mnaanza kuwapopomea watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awape ushauri mazuzu wenzake kama weweNdiyo tatizo la cdm, mkipewa busara kama hizi, mnaanza kuwapopomea watu.
Utakuwa hujaitendea haki nchi yako, kama unataka tufike mbali, basi Magufuli anatufaa sana mkuu.Magufuli hana lolote sitaki kujutia baadae akifanya ujinga wake. Hapa anasema akishinda kazi yake ya kwanza itakuwa kujenga uwanja mkubwa Dodoma. Wanadodoma wanahitaji Uwanja mkubwa au maji kila kaya ?
Mwambieni kwanza magufuli wagombea walioenguliwa na Tume warejee kama ilivyo miaka yote kisha watu waanze kunadi sera zao.Tatizo wapinzani hawapenda kuambiwa yale wasiyoyapenda japo yanaukweli na ni yenyekujenga.
SwadaktaaNiko bush sehemu yenye tatizo la network, sipati habari kwa mtiririko mzuri. Ila nashauri sana kwa sasa tuko kwenye kampeni, Lisu anapaswa kufanya siasa za kupata uungwaji mkono wa umma zaidi kuliko siasa za madhila aliyopitia. Nashauri sana Lisu azungumzie mahitaji ya wananchi kwa 80%, kisha madhila yake na ya upinzani ayaongelee kwa 20% tu.
Kushinda pambano la ngumi sio uwezo wa kurusha ngumi nzito pekee, bali ni kurusha ngumi nzito zenye pointi. Ni vyema Lisu asitumie approach aliyoitumia wakati anasaka wadhamini, bali atumie approach ya kuweka mahitaji na shida za wananchi kwanza. Inatakiwa hata akishindwa awe ameacha ahadi za uchonganishi, ambazo zitawafanya kutekeleza hata kama hawapendi.
Mnaumia sana akizungumzia madhira yaliyomsibu eh? Uzinduzi wa ilani ya CDM bado.Well Said. Tukio la risasi alichukua almost robo tatu ya muda. Tunataka atuambie kwa nini tumpe kura. Binafsi nilisema nampa kura yangu ila jana kaniangusha kabisa. Kura yangu bora nimpe Babu Rungwe.
Ss hivi nimeanza kama kukuelewa vile [emoji2]Magufuli hana lolote sitaki kujutia baadae akifanya ujinga wake. Hapa anasema akishinda kazi yake ya kwanza itakuwa kujenga uwanja mkubwa Dodoma. Wanadodoma wanahitaji Uwanja mkubwa au maji kila kaya ?
Hapo anakuambia akishinda atanunua ndege tano zingine. Tujiandae kwa miaka migumu mingine 5.Huyu hapati kura yangu. Akishinda hata akiendeleza ma ujenzi yake mimi nitajifariji kwa kusema sikumpigia kura.Ss hivi nimeanza kama kukuelewa vile [emoji2]
Mkuu uneongea kiutu uzima.Niko bush sehemu yenye tatizo la network, sipati habari kwa mtiririko mzuri. Ila nashauri sana kwa sasa tuko kwenye kampeni, Lisu anapaswa kufanya siasa za kupata uungwaji mkono wa umma zaidi kuliko siasa za madhila aliyopitia. Nashauri sana Lisu azungumzie mahitaji ya wananchi kwa 80%, kisha madhila yake na ya upinzani ayaongelee kwa 20% tu.
Kushinda pambano la ngumi sio uwezo wa kurusha ngumi nzito pekee, bali ni kurusha ngumi nzito zenye pointi. Ni vyema Lisu asitumie approach aliyoitumia wakati anasaka wadhamini, bali atumie approach ya kuweka mahitaji na shida za wananchi kwanza. Inatakiwa hata akishindwa awe ameacha ahadi za uchonganishi, ambazo zitawafanya kutekeleza hata kama hawapendi.
Mie jamaa nimekuelewa niwe mkweli..Kama hujamuelewa tupingulue urafikiNgoja nikae kimya