Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

Ongea tu mengine kwani umekatazwa kuongea? Huo mdomo ni mali yako na wala hulipi kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kushabikia ujinga basi hakuna anayeitaka CCM jana Lissu amedisappoint watu wengi huo ndio ukweli na mleta thread kaongea yote ya ukweli hakuna alichopindisha watu tunamtegemea lissu but awe makini kwa sasa cha kuongea na cha kufanya kulalamika hakusaidii kwa sasa ni muda wa kumwaga sera na kusonga front
 
Mtoa mada anasema fact tu hongera sana kwa kuliona hill naamini atarekebisha ili tuone siasa nzuri kutoka pande zote za vyama
 

Mwandishi wa uzi huu ni kama yule wa tume mwenye domo zege!
 
Onyo la mwisho wewe ni United Nation. ??

Tulia Lissu anasukuma dawa..... au unataka kumtisha kwa bunduki tena?? go on.......
 
Huyu sie anae lipa kwa kuzuia maendeleo.
 
Hii ipo kote hata ccm wakiona mtu anawashauri wanapokosea huwa wanasema ni chadema na wala hawataki ushauri wake
 
Nadhani sisi kama CCM tujikite na kile wananchi wanachotaka. Haya mambo ya kwenda kumpa onyo mpinzani yanaonesha tuna madhaifu mahala fulani.
 
Hilo onyo ungeenda kuwapa unaowalisha na kuwanunulia sabuni Sio kwa Lissu
 
Misukule ya lumumba mnashida sana...

Piga spana baba Tundu Lissu wameshalegea wote kuanzia mwenyekiti mpaka mjumbe wa nyumba 10
 
Mpaka saivi huyo kenge mushumbusi dawa imeshapenya vilivyo.

Safari hii hadi kende ziote fangasi maana spana za brother Mh TL si mchezo zinafanya watu wasibadilishe hata 'pants' zao.
 
Nadhani sisi kama CCM tujikite na kile wananchi wanachotaka. Haya mambo ya kwenda kumpa onyo mpinzani yanaonesha tuna madhaifu mahala fulani.
Namadhaifu yenyewe tunajaribu kuyakataa huku yanatuangamiza.
 
Nimeona kinyaaa kuendelea kusoma uzembe wako
LAKINI umejitahidi nakujidanganya kuwa unaweza kumfundisha samaki kuogelea nayule mungine mchoma nyavu umemfundisha nini?
 
Ngoja waje wakuvurumishie matusi humu...
 
Mkuu ulishawahi kwenda kwenye mkutano wake?
 
Lisu ni mpropokajia tangu kitambo ndio maana wenye chama wamemuacha ahenyeke peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…