Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Akishinda hilo taji utaona shangwe kelele na vifijo, viongozi nk, ndugu zangu watz hii ni muhimu gharama za kutangaza utalii tuzike huku tuna nufaika mara mbili hapa, taji na promotion ya nchi YETU.Katka ,un
Katika maisha hizo changamoto ulizokutana nazo ndo uhalisia wa Dunia tunayoishi ,
Ni kweli ila tatizo hizo pesa zinaingia KWENYE mifuko ya watuAkishinda hilo taji utaona shangwe kelele na vifijo, viongozi nk, ndugu zangu watz hii ni muhimu gharama za kutangaza utalii tuzike huku tuna nufaika mara mbili hapa, taji na promotion ya nchi YETU.
FactKatka ,un
Katika maisha hizo changamoto ulizokutana nazo ndo uhalisia wa Dunia tunayoishi ,
No Matter what mkuu, maisha ndio ulivo mkuuNi kweli ila tatizo hizo pesa zinaingia KWENYE mifuko ya watu
Tusaport alafu waje wasemi ushindi wa ki B mkubwa wao!!Kwanza kamefikaje uku??Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
View attachment 3686255
Hilo nalo ni tatizo ndani ya nchi hii.Tusaport alafu waje wasemi ushindi wa ki B mkubwa wao!!Kwanza kamefikaje uku??
Ilitakiwa tupigwe mapema to..