Tena umwambie ushankagua vya kutosha so sihitaji inspection nyingine.Achana nae atakufia bure coz hayawezi mapigo ya Digitali huyu mzee.
Siku tumemuachia ukaguzi wa wazee wenzake sisi vijana ndio tunashughulika na ninyi totoz wa digitali a.k.a 21st Century
Afu wewe ilibidi nikukague ile siku ulosema ungenipa lift but alas! something went awry somewhere... Ntakutafuta wikend ya mwisho wa wiki ili niku verify...!!
Copy: ladyfurahia, kwa taarifa tu..
kwani hujakaguliwa?..
Mke wa ujana wangu umeniita?nimegundua ukaguzi wake unapunguza nguvu za fivesome yetu! ameanza fellowship jana na jando, ili kujinoa zaidi! nimekumissiapo shem wangu wa ukweeeeeee! ukimuona hubby wangu Asprin mwambie nampenda kuliko siku yetu ya harusi.
Nimeambiwa umeniita Baba V. Kwa kifupi kabisa bila kupoteza muda naomba list ya mabinti ambao hawajakaguliwa. Waambie wakam zis wei fasta.