Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

oohh why Kaizer?....wajua sitamkagua kwa namna wanayokagua kina Baba V na wenzie..nitatumia mashine maalumu uku mm nikiwa mbali na eneo la tukio..na nitatumia kionea mbali kuhakikisha ukaguzi unaenda salama
abomination!
 
Last edited by a moderator:

sasa huo utakuwa sio ukaguzi bali ulozi......lol hebu kujamo PM kwanza nikwambie kitu
 
Huu ufisadi wa bongo wa kukagua mashine za mtwara ilhali upo Mwanza halafu unadai na per diem.

shem na huyu naye unamtaka!??
 
Nimeambiwa umeniita Baba V. Kwa kifupi kabisa bila kupoteza muda naomba list ya mabinti ambao hawajakaguliwa. Waambie wakam zis wei fasta.

Baada ya kusema hayo nimeitikia wito wako. AM BACK!

There you are man.. Kwa kuanzia tu anza na hawa
i. leh
ii ram
iii Chocs
iv Asnam
iv. sweetlady (kwa sababu maalum)
 
Last edited by a moderator:
Huu ufisadi wa bongo wa kukagua mashine za mtwara ilhali upo Mwanza halafu unadai na per diem.

shem na huyu naye unamtaka!??

"wasi wasi wako ndo maradhi yako" Mentor
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…