Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Ina maana wewe unaitwa itwa hovyo.. Huna kazi ya kufanya? Kila saa mtu akikuita upo available?
 
Reactions: SDG
Afanye call divert. Yan amdivert huyo mtoto kwa mshikaji wake wa karibu au hata kwangu itakuwa vizuri zaidi... Huyo dem kazidiwa na ugwadu, hana lolote...
kwaiyo wewe huna vigezo,..yoyote Tu ilimradi ana ugwadu wewe ndo kigezo chako mkuu
 
Kuwa Jf kwa miezi miwili tu unajiona unajua kila kitu humu ndani, pole sana endelea kujifunza kwanza kuwa hili jukwaa kwajili ya nini.
 
Hongera sn kwa ujasili ulio tukuka. Mungu alikuongoza kukataa hyo zawad ungelijuta. Kuhama c suluhu kwa imani yako mshrkshe Mungu na sari sana huyo ni shetan wa miguu minne. Kamwe usimwambie mkeo maana vikao vyote vwl hukumhusisha. Ashindweeeeeeeeeeeeeee
 
Seems ushalegea tayar, unasubiri kuchinjwa tu!

The only way ya kuepuka vishawish kwa mwanamke ni kutokuwa na mazoea naye, kabisaaaa! No mazoea at all, otherwise
 
jinyonge tu mkuu hayo uepukane nayo[emoji125] [emoji125]
 
Mchangiaji mmoja Akili unazo ndiye pekee kakupa ushauri ambao ndio wa kufuata. Mengine ni hadithi tu. Mkuu, hayo yamewapata wengi humu ila waliofanya ka ushauri huo walipona kabisa kabisa.
Hama nenda mbali tena haraka, akiendelea kukutext na kukupigia, mpe za uso kuwa mbegu yako ni yakipekee ilowekewa mwanamke pekee.
 
Kuwa Jf kwa miezi miwili tu unajiona unajua kila kitu humu ndani, pole sana endelea kujifunza kwanza kuwa hili jukwaa kwajili ya nini.
Hilo ndo tatizo lenu mliojiunga mapema, mnafikiri hilo linawapa uwezo mkubwa wa kujadili na kufikiri kuliko waliojiunga late. Pole
 
Andika namba yake apa wacha maneno.....uo ndo muwa uliozamishaga meliii[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Shetani anataka aharibu ndoa yenu kukuruka mwanangu haaaaa

Hama Nyumba faster
 
Hata biblia imeandikwa "ikimbie zinaa" haimaanishi ukihama hapo utakuwa mwoga ndugu ila ukibaki na ukaendelea kuishi hapo bila mkeo,,, soon atakufuata chumbani na khanga moja...
 
Sioni cha kukimbia hapo. Hiyo kesi ndogo sana.
 
Wavulana mengine haya mnatuabisha wanaume....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…