Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Majirani wa kike taabu sana huku uswahilini........

3.jpg
Pole sana wanaume tumeumbwa mateso lakini
 
Ina maana wewe unaitwa itwa hovyo.. Huna kazi ya kufanya? Kila saa mtu akikuita upo available?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Afanye call divert. Yan amdivert huyo mtoto kwa mshikaji wake wa karibu au hata kwangu itakuwa vizuri zaidi... Huyo dem kazidiwa na ugwadu, hana lolote...
kwaiyo wewe huna vigezo,..yoyote Tu ilimradi ana ugwadu wewe ndo kigezo chako mkuu
 
Sasa kama umekataa unataka ushauri gani tena kwetu? Au tukwambie ukubali?. Are u serious kweli?. Au umejisikia kupost tu, we mtu mzima na akili zako na umesema hutaki sasa huyo mwanamke atakufunga na kamba?. Leta mada zenye tija hayo wanaulizaga kwenye magazeti ya kiu na uwazi.
Kuwa Jf kwa miezi miwili tu unajiona unajua kila kitu humu ndani, pole sana endelea kujifunza kwanza kuwa hili jukwaa kwajili ya nini.
 
Hongera sn kwa ujasili ulio tukuka. Mungu alikuongoza kukataa hyo zawad ungelijuta. Kuhama c suluhu kwa imani yako mshrkshe Mungu na sari sana huyo ni shetan wa miguu minne. Kamwe usimwambie mkeo maana vikao vyote vwl hukumhusisha. Ashindweeeeeeeeeeeeeee
 
Seems ushalegea tayar, unasubiri kuchinjwa tu!

The only way ya kuepuka vishawish kwa mwanamke ni kutokuwa na mazoea naye, kabisaaaa! No mazoea at all, otherwise
 
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie jinsi ya kuliepuka. Suala lenyewe lipo hivi mimi nimeoa na ni miaka kama miwili hivi toka nioe, maisha yangu ya ndoa ninayafurahia kwasababu nilimpata mwanamke wa ndoto zangu yaani sijutii kuishi naye ingawa safari bado ni ndefu hivyo ni mapema kujihakikishia. Jambo linalonisumbua ni kuna mpangaji mwenzangu ambaye ni mdada flani hivi anamtoto mmoja na anakazi yake na kipindi nahamia pale nilimkuta.

Ni Dada ambaye alinionyeshea mashauzi sana kipindi napanga kwenye ile nyumba kitu ambacho kilipelekea kutokuwa na mazoea naye zaidi ya salamu tu basi. Kwa kipindi chote hicho cha takribani miaka miwili na zaidi sikubahatika kuomba namba yake ya mawasiliano na wala yeye hakuniomba mpaka hivi karibuni akawa ameniomba namba nikampa.

Siku moja baada ya kuniomba namba akanipigia akidai kwanini sijamjibu SMS yake wakati hakukuwa na SMS yoyote aliyonitumia, mimi nikamwabia sijaipata labda imefail kwahiyo nitumie tena ili niione akaniambia poa.

Akaanza na SMS ya kwanza samahani kama nitakukwaza, then akatuma SMS ya pili akisema, mimi ni binadamu, ninahisia, ninahitaji hivyo tafadhali naomba utimize haja ya moyo wangu kwani nimeteseka kwa miaka yote hiyo sijawahi kukwambia lakini uzalendo umenishinda, please don't let me down. Nikamrudishia, samahani kama nitakukwaza ila kiukweli sitaweza kufanya hilo unalohitaji.

Akaniambia, hivi unahisi nitajiskiaje mimi kama mwanamke kukuelezea hisia zangu then unanijibu hivyo, vipi nikikuona nitakuonaje na utanionaje, najua unamke wako lakini lengo langu si kuharibu ndoa yako, na nitaendelea kuitunza ile heshima tuliyokuwa nayo tangu awali. Nikamwambia kuwa mimi si mtu namna hiyo, imani yangu na maadili niliyolelewa hayaruhusu kitu hicho unachotaka kutoka kwangu, lakini pia naheshimu sana kiapo cha ndoa yangu.

Siku inayofuata akanitext kuwa anaomba nionane naye face to face, nikaona hiyo ndio itakuwa njia ya kumweleza ukweli kuwa anachofikiria hakitawezekana, kweli tukakutana akaniambia mambo mengi sana kuwa alinipenda toka siku ya kwanza kuniona, amevumilia sana kwa mda mrefu kwahiyo anaomba nimwelewe kwani itakuwa siri yetu, akasema ikibidi basi nimpe hata japo kwa siku moja tu yeye ataridhika.

Kiukweli nikamwambia anachopaswa kufanya ni kumwomba mungu amsaidie ili ampate mume kwani mimi ni mume wa mtu na siwezi kusaliti ndoa yangu then nikamuacha. Jana akanitext kuwa anaomba anione tena, nikaenda kumsikiliza akasema usiku wa Leo nimelala kwa raha sana kwani nilipoongea nawe nilifarijika na nilipofika nyumbani chupi yangu ilikuwa imeloa kabisa ingawa, naomba uniingizie japo kakichwa tu basi sitakusumbua tena.

Akasema kuna pafyumu ya wanaume nimekununulia hivyo nilikuita ili uje nikupe. Nikamwambia nashukuru kwa zawadi lakini samahai zawadi hiyo sitaipokea na usirudie kuingia gharama tena kwasababu unajiingiza hasara bure. Kwa kweli alionyesha kusikitika sana, lakini kuhusu ile pafyumu mimi niliingiwa na woga kwani nikahisi huenda akawa ameifanyizia madawa ili nikiitumia lengo lake lifanikiwe.

Basi nikaikataa na akalaumu kuwa nimekataa kumtimizia haja yake hata pafyumu ambayo ni zawadi tu naikataa! Basi mimi nikamwambia analolifikiria juu yangu hatafanikiwa hivyo asijisumbue. Lakini cha ajabu ameendelea kuwa kero kwangu kila Mara ananitumia SMS, ananipigia ingawa sipokei call zake, sasa sijui nitumie mbinu gani ili huyu Dada aachane na huo mpango wake wa kutaka kuninasa.
jinyonge tu mkuu hayo uepukane nayo[emoji125] [emoji125]
 
Mchangiaji mmoja Akili unazo ndiye pekee kakupa ushauri ambao ndio wa kufuata. Mengine ni hadithi tu. Mkuu, hayo yamewapata wengi humu ila waliofanya ka ushauri huo walipona kabisa kabisa.
Hama nenda mbali tena haraka, akiendelea kukutext na kukupigia, mpe za uso kuwa mbegu yako ni yakipekee ilowekewa mwanamke pekee.
 
Kuwa Jf kwa miezi miwili tu unajiona unajua kila kitu humu ndani, pole sana endelea kujifunza kwanza kuwa hili jukwaa kwajili ya nini.
Hilo ndo tatizo lenu mliojiunga mapema, mnafikiri hilo linawapa uwezo mkubwa wa kujadili na kufikiri kuliko waliojiunga late. Pole
 
Andika namba yake apa wacha maneno.....uo ndo muwa uliozamishaga meliii[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Shetani anataka aharibu ndoa yenu kukuruka mwanangu haaaaa

Hama Nyumba faster
 
Hata biblia imeandikwa "ikimbie zinaa" haimaanishi ukihama hapo utakuwa mwoga ndugu ila ukibaki na ukaendelea kuishi hapo bila mkeo,,, soon atakufuata chumbani na khanga moja...
 
Back
Top Bottom